Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 400
- 886
Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.
Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.
Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.
Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu