Kugawa gawa Mikoa Tanzania

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
876
IMG_6063.png
IMG_6065.png

Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.

Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.

Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.

Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
 
Matumizi mabovu ya ardhi, uongozi usiozingatia viwango, kuwa nyumanyuma kwenye matumizi ya technolojia, miundombinu mibovu. Hivyo ndiyo vinapelekea li nchi lionekane likuuuubwa.
Na kwa kuwa viongozi wenyewe ndiyo hawa wasio na ubunifu, tuendelee kutarajia nchi kuendelea kugawanywa tu
 
View attachment 2713287View attachment 2713289
Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa. Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ. Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
Tofauti provinces na Mikoa Kwa maana ya regions.

Mwisho Serikali igawe Mikoa ya Morogoro,Tabora,Ruvuma,Lindi na Pwani Ili kusogeza Huduma zaidi.

Pia Sheria ya ugatuagi wa madaraka Kwa Serikali za mitaa itoe Nguvu zaidi Kwenye Mikoa kujiamulia mambo Yao Ili kuchochea ushindani na Ufanisi.
 
Mkuu Nchi ni yetu na Viongozi na Maafisa ni watoto wetu. Rudi kwenye Ramani uuuangalie Mkoa wa Morogoro! Mkoa unaanzia hapo Mitaa ya Bwawani halafu unaelekea hadi kukutana na Mkoa wa Ruvuma.
Tatizo ni kwamba hii Mikoa tunaigawa kwa mlengo wa Ubinafsi na kutafuta popularity ya Kisiasa.
Mkoa wa Manyara ulikuwa Engineered na LOWASA & SUMAYE.
Mkoa wa Katavi Engineering ya PINDA.
Mkoa wa SONGWE MWANDOSYA.
Mkoa wa Geita na SIMIYU Sukuma Gang.
Mkoa wa NJOMBE engineered by Southern Corridor Monsters.
Mikoa ya TABORA na Morogoro iliyostahili kugawanywa ikakosa God fathers. All in all Mikoa inaongeza Wage bill kwa walipa kodi na mzigo kwa Taifa.
 
Huko tunakoenda watagawa Dodoma, Singida, Tabora, Morogoro (huu unaliwa timing tu), Kigoma, Tanga, Pwani, Ruvuma, Mtwara n.k.

Ni ulimbukeni na ujinga watu wachache kujipa umuhimu na maeneo waliyotoka, wakiamini pakiwa hadhi ya mkoa, wananchi wa eneo husika watawakubali.
 
Halafu kuna mtu alitaka kupendelea kijiji chake akataka kukipa hadhi ya mkoa.Pia akataka kuwe na mbuga za wanyama kwao akachukua wanyama sehemu ingine akahamishia kwao wale wanyama wakahamia Rwanda,akajenga uwanja wa ndege kwao.
Tulimpenda sana maana huwezi kuwa mtimilifu kwa yote ila mungu alimpenda kuliko sisi RIP Mwamba.Tunakukumbuka kwa mazuri yako.
 
Mkuu Nchi ni yetu na Viongozi na Maafisa ni watoto wetu. Rudi kwenye Ramani uuuangalie Mkoa wa Morogoro! Mkoa unaanzia hapo Mitaa ya Bwawani halafu unaelekea hadi kukutana na Mkoa wa Ruvuma.
Tatizo ni kwamba hii Mikoa tunaigawa kwa mlengo wa Ubinafsi na kutafuta popularity ya Kisiasa.
Mkoa wa Manyara ulikuwa Engineered na LOWASA & SUMAYE.
Mkoa wa Katavi Engineering ya PINDA.
Mkoa wa SONGWE MWANDOSYA.
Mkoa wa Geita na SIMIYU Sukuma Gang.
Mkoa wa NJOMBE engineered by Southern Corridor Monsters.
Mikoa ya TABORA na Morogoro iliyostahili kugawanywa ikakosa God fathers. All in all Mikoa inaongeza Wage bill kwa walipa kodi na mzigo kwa Taifa.
Itagawanywa tuu,swala la kuwa engineered na nani sio hoja Bali ilistahiki kugawanywa
 
View attachment 2713287View attachment 2713289

Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.

Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.

Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.

Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
Huenda Dar wataigawa kuwa na Ubungo na Kinondoni ambapo Dar itabaki na wilaya ya Ilala, Temeke na Kigamboni, safi sana.
 
Bora wagawe baadhi ya maeneo katika mikoa hayafikiwi na huduma ila yanakuwa yamejumuishwa katik mkoa huo.
 
View attachment 2713287View attachment 2713289

Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.

Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.

Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.

Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
Umekurupuka sana!. China ina Outonomous( nchi Huru za ndani) hizo 22, kwahiyo kila Outonomous moja inagawa Wilaya na mikoa kivyake, kama Tanzania,lakini hizo nchi 22 za ndani hazibadiliki. Brazil, US, Canada, n.k, nazo zinagawa maeneo kulingana na mabadiliko ya Tekinolojia, idadi ya watu, na maendeleo lakini states/ Provincial mama zinabaki kama zilivyo. Mikoa Huru ya China ni Tibet, Uigur, Guanzou, Macau, Shanghai, Inner Mongolia, Guizou, Hong Kong, Beijing, n.k hizi hazibadiliki maana ni kama nchi kimipaka, na zina sheria na kanuni haziingiriani, na mabunge yao kila huo Mkoa, lakini zenyewe zinakata miji ya kujitawala. Tofauti ya Tanzania ni kwamba ni nchi moja, mikoa yake inategemea serikali kuu moja kwahiyo mikoa haina nguvu inaweza kuongezwa au kupunguzwa na Mheshimiwa Rais aonavyo yafaa.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Sasa uoni kwetu ni mzigo kwa wananchi.Uku kwetu haya mambo yanafanyika kisiasa zaidi ndo maana mzigo unarudi kwa mwananchi wakati huo zile huduma zilizosemwa zinasogezwa karibu na wananchi hazipatikani.
 
Mkoa wa Morogoro utagawiwa tu, maana hakuna namna, ingawa Morogoro kusini (Ifakara to Mahenge, Malinyi, Mlimba) miundombinu ni changamoto ndio maana inachelewesha kugawanywa mpaka angalau Ifakara ipate unafuu kimiundombinu. Mpaka ushachorwa ambao upo Ruaha Kidatu. Ulanga, Ifakara, Malinyi, na Kilombero(Mlimba) zitakua Mkoa wa Kilombero. Kilosa, Gairo, Morogoro Dc, Morogoro Mc, Mikumi Kidatu zitabaki Morogoro. Mluguru na Mpogoro wataachana hivyo.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Sasa uoni kwetu ni mzigo kwa wananchi.Uku kwetu haya mambo yanafanyika kisiasa zaidi ndo maana mzigo unarudi kwa mwananchi wakati huo zile huduma zilizosemwa zinasogezwa karibu na wananchi hazipatikani.
Ukiwa Tanzania kila kitu ni taabu, wanagawa ata vimkoa vidogo, na hivyo vidogo umasikini upo palepale.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Sasa hayo majimbo kwa 1 kwa wenzetu si kama nchi yetu tu kiutendaji na uongozi. Umekurupuka kafanye uchunguzi tena na tena
Hujaelewa, pointi yake, ccm wanagawa nchi kisiasa tu,
Mfano Dar ilikuwa na wilaya tatu tu, Temeke,Ilala,Kinondoni,
Sasa huu upuuzi wa kigamboni na ubungo sijuhi mpumbavu gani alileta? Eno LA ardhi ni lilelile cha muhimu ni kujenga huduma karibu na watu, shule, Hospitari, sio kuongeza maeneo ya utawala,
USA, UK, Japan lini wameongeza idadi ya mikoa, state kwa kugawanya iliyopo, tatizo nchi imeshikwa na wachawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom