Kufunga ndoa ni kuwatangazia umma kuwa siku hiyo ni mnaenda ku-banjuka tu?

hivi kuna watu ambao USIKU WA siku ya ndoa hawa BANJUKI??

note:wote wako vizuri kiafya
Yaaap ndio ni wengi mnoo..... Asilimia kubwa ya wanaooana wanatakuwa either wamesha ishi pamoja sana tu au ni wapenzi wa muda mrefu. Sasa hapo hamu ya kuchakatana inapungua maake mnajuana na style zote mlishapeana ....
(Eg Kitasa cha mparule , 7Up)🤣🤣🤣
 
Hivi kuna watu ambao USIKU WA siku ya ndoa hawa BANJUKI??

Note: Wote wako vizuri kiafya
Na mm ua najiuliza na sipati majibu labda kama kuna mtu anaejua anisaidie
Hiyo siku ukiolewa either kwa waislamu au wakristu ni lazima mfanye tendo la ndoa yaani ni Sheria kuwa ni lazima mfanye au hakuna ulazima mtaamua wenyewe????
 
Hakuna muongozo maalumu.. Ipo natural tu..!! Hivi unaagaje kuwa unakwenda honey moon halafu usitoe mbususu, tena kwa mume wa ndoa?
 
Na mm ua najiuliza na sipati majibu labda kama kuna mtu anaejua anisaidie
Hiyo siku ukiolewa either kwa waislamu au wakristu ni lazima mfanye tendo la ndoa yaani ni Sheria kuwa ni lazima mfanye au hakuna ulazima mtaamua wenyewe????
Kwa sasa hakuna bhana mshazoeana hakuna ule mzuka ila ingekuwa enzi hizo watu hawajuani wapo na genye hatari lazima mmegane
 
Na mm ua najiuliza na sipati majibu labda kama kuna mtu anaejua anisaidie
Hiyo siku ukiolewa either kwa waislamu au wakristu ni lazima mfanye tendo la ndoa yaani ni Sheria kuwa ni lazima mfanye au hakuna ulazima mtaamua wenyewe????
lazima!!
 
Back
Top Bottom