Kufunga ndoa ni kuwatangazia umma kuwa siku hiyo ni mnaenda ku-banjuka tu?

Mkuu inasema na jicho litahusika siku hiyo au sauti haisikiki vizuri niongeze
 
Ndio maana mojawapo ya vitu anavyohusishwa bibie Ni tarehe ya ndoa ili isiangukie kwenye mazoezi ya Simba sports club
Mhmhmhmhhhhh kwani ua wanahusishwa ! Kuna watu hata hawawahusishi nakwambia.
 
Kufunga ndoa haithibitishi kwamba mnaenda kubanjuka, kuna wanaoolea wengine...

Ila mwanamke mwenye mimba ni alama kwamba kafanywa...
 
Kufunga ndoa haithibitishi kwamba mnaenda kubanjuka, kuna wanaoolea wengine...

Ila mwanamke mwenye mimba ni alama kwamba kafanywa...
hapa ndio penyeweeee unafanya mapenzi kisirisiri halafu mimba inakuja kuudhihirishia umma kwamba Yes I did it,mhmh utajua hujui.
 
Honeymoon ni wakati wa kwenda kupumzisha akili baada ya hekaheka za sherehe, kubanjuka usiku wa kwanza hata sio lazima. Sema inakuja tu naturally kwamba kulala na mtu wa jinsi tofauti the whole night na kavaa nguo za kuzaliwa inakuwa hujautendea haki urijali uliopewa.
 
kama hamkuwahi kufanya haya mambo basi huo usiku unakua special ila kama mlishazoeana kwa hiyo hakuna jipya kama bado hujamla hapo sasa ndo siku yako ya kumuona uchi kwa mara ya kwanza lazima upige mashine
na mashine isipowaka je???
 
Back
Top Bottom