Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Hello!
Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi.
Turudi kwenye mada.
Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu).
Mfano
*Nitakusamehe kila kosa lakini siku ukimuuzi mama yangu au wazazi wangu ndio mwisho wa ndoa yetu
*Nitakusamehe kila kosa lakini siku ukichepuka na kupata ushahidi wa wazi hapo ndipo itakuwa mwisho wa ndoa yetu.
*Nitakusamehe kila kosa lakini siku nikigundua umeanzisha mradi wowote kwa siri huo ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.
Mimi wife wangu nilimpa condition moja tu. Akichepuka tu na nikagundua msamaha wake ni kumtimua milele na sitaugusa tena mwili wake.
Sasa tuko na mwaka wa 8 tunaishi vizuri na msimamo wangu umebaki pale pale. Siishi naye kwa kusubiri afanye hilo kosa ndipo nimtimue la, naishi naye normal tu but siku akichepuka ndipo utakuwa mwisho wa ndoa yetu na hilo nimemweka wazi kabisa.
Si lazima umpe condition hii. Mpe ambayo kwako unaona inafaa. Mwenzako ajitathmini afanye maamuzi kabla hamjaoana.
Sio mnaoana unaanza nimegundua wife ananicheat, nimegundua mume kajenga kwao kimyakimya, sijui wife anamnyima maza chakula.
Ukifanya maamuzi unaonekana mwonezi.
 
Wavulana huoa kazi wasaidiwe kifedha ktk familia, Ke huwalia timing panapo dalili za mali, huanza visa ndoa zivunjike wagawane mali, mf; J.Bezzos & Bill Gates.

"Kataa ndoa" wako sahihi 70% japo Watu hupuuza ila mitaani tunashuhudia majanga.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom