kufumania

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari za asubuhi?nadhani umeamka salama na unajiandaa kuelekea ktk ujenzi wa Taifa,nilikuwa nina swali ambalo lnahtaji majbu yenu.... Hivi utakapomfumania Mkeo/demu/mume/bwana wako live akiwa anashughulika/kakumbatiwa nini utakifanya ktk wakati mgumo huo?
 
I'll just walk away, na kumsubiri home hapo ndio mengine yatafata
 
na kwanini ifike demu kuliwa na wengine au
inakuwa humtoshelezi au hatosheki? na mume
naye hatoshelezwi na demu wake au hatosheki?

au nimatamanio tu?

hali ngumu kuamuwa, unaweza ukauwa.
ikiwa ni mimi, nitamwambia jamaa atulie na
mimi niweke BOLT yangu ndani ya NUT yake:hand:
 
nitampa silence of torture,ingawa ni ngumu.hiyo itamfanya aishi kwa wasiwasi.either atarudia au ataacha kabisa.Au atajigonga gonga mwenyewe
 
Habari za asubuhi?nadhani umeamka salama na unajiandaa kuelekea ktk ujenzi wa Taifa,nilikuwa nina swali ambalo lnahtaji majbu yenu.... Hivi utakapomfumania Mkeo/demu/mume/bwana wako live akiwa anashughulika/kakumbatiwa nini utakifanya ktk wakati mgumo huo?

Itakuwa tiketi maridaad kabisa!:decision:
 
Nitawaambia oops! Sorry kwa kuwakatishia shughul yenu halafu natoka na sitamuuliza ki2 chochote baadae?
 
Mara nyingi huwa hakuna mwenye jibu kamili kuhusu hilo kutokana na ni suala ambalo linagusa moyo moja kwa moja,pia inategemea na jinsi gani huyo mwenza wako unampenda,kuna wanaozimia,wanaofikia kutaka hata kuua,wanaoamua kuacha kabisa mahusiano na hata wengine huamua kusamehe pale pale na kuendelea na mambo mengine kama hakuna lililotokea.
 
na kwanini ifike demu kuliwa na wengine au
inakuwa humtoshelezi au hatosheki? na mume
naye hatoshelezwi na demu wake au hatosheki?

au ni matamanio tu?

hali ngumu kuamuwa, unaweza ukauwa.
ikiwa ni mimi, nitamwambia jamaa atulie na
mimi niweke BOLT yangu ndani ya NUT yake:hand:
Matamanio kwa kweli yanachangia mtu kwenda kumega tunda nje ya uhusiano.
Na hakuna mwanamume atakayekubali um do wewe peke yako na yeye anakutazama kisa amem do mkeo labda atakuwa kipikipiki toka kitambo,inawezekana yeye hajui kama huyo mwanamke ni mke wa mtu
 
...sawa na ndoto, "huwezi chagua utaiota vipi!"
Ikishakutokea ndipo utajua ukurupuke, ujikojolee, au kuishia 'kuvuta shuka!'
 
ya nini uhangaike, unamsubiri wamalize then kila mtu kivyake ina maana toka anamkubalia jamaa mpaka anaenda kumchanulia wewe tayari alishakushusha thamani.
 
Kama ni mchumba/wife mahusiano yanakuwa yamefika tamati, bt kama ni demu au kimada wangu na mimi navaa kondom naunganisha hapohapo
 
Binafsi siwezi kuondoka nitauliza kinachoendelea ili niweze pata majibu kwamba kwann kafanya hayo Na ni mm sababu iliyompelekea kuyafanya coz kuondoka kwangu hakutosaidia kitu yawezekana hata me kuna mambo yamempelekea huyo kuyafaua hayo Kama wasemavyo wahenga dawa ya kutatua Jambo/tatizo ni kulizungumzia ndipo ufumbuzi so kukaa kimya hakutosaidia kinachotakiwa ni kujua chanzo hasa ni mm then maamuzi yako mikononi kwako kusoma/lunula kumbuka hakuna mkamilifu Na daima tunajifunza kutokana n makosa hope umenielewa?
 
Back
Top Bottom