Kuflash simu za mkononi

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Naomba niulize wanataalam,Nini kinahitajika niweze kuflash simu kwa kutumia pc yangu?gharama yake ni shiling ngap?msaada jaman.
 
Hutegemea na simu mkuu-simu nyengine unweza kuflash kwa USB cable na small software ila kwamost of phone you need to have special box system that may cost you more than TZS 400000/-
 
Ni simple,unaenda mpaka posta round about mtafute fundi Mwesiga atakutoza kuanzia 5elf mpaka lak2 kutegemeana na simu,ila kama unahamu ya kujitegenezea,tafuta kama milioni ivi,uagize box uchina kama lak4 mpaka7,nunua cable,alafu down mafile kisha unlock kwa kununua credit vocha online kutoka kwa manufacturer/ suppliers.
 
Back
Top Bottom