Elections 2010 Kuelekea uchaguzi mkuu.... SAUT FM yafungiwa....!

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Uwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...!
Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...!
Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...!
I hope huyu Kabwe wa Mwanza ndio atakuwa amesuka mpango huu..maana ana mambo ya ajbu sana huyu...!
 
Tupatie Habari Nzima
 
Tupe habari kamili, hapo juu hujasema kitu.
 
What...? Saut FM as in Radio SAUT FM???
Why...? What happened...?
Taarifa kamili plz, na imefungwa lini?
 
Tupe habari kamili, hapo juu hujasema kitu.

Sina uhakika lakini nafikiri wamefungiwa au kusimamishwa kwani ni redio huru lakini inawakera CCM, na naamini kuna mkono wa siasa ndani yake bila kumwacha Masha pembeni kwani hali yake pale Nyamagana ni hoi kama mgonjwa aliye ICU
 
Na mimi nimesikia hilo jambo kilicho-click kichwani mwangu mara moja ni Kabwe na Masha. Masha SAUT ni sindano kwake maana waliojiandikisha ni wengi na hawampi kura ng'o sasa wanatafuta jinsi ya kuzima moto wa wale watoto wa shule wanaojua nini maana ya change. kabwe yeye anajulikana kuwa hana analytical thinking nimemsikia alipohojiwa na BBC ambacho ni chombo kikubwa sana cha habari duniani anaongea kama anaongea na mtoto wake wa mwisho, hajui kuwa BBC ndio mahali pa kupatia image nzuri.
 
Wakuu mwenye habari nzima atujuze ndo tuchangie!!

What does TCRA mean ''wamejiingiza kwenye siasa?" Maana habari si ni habari tu...

Mwenye habari kamili tuwekee hapa!
 
Wanapoteza muda wao tu kuwafungia SAUT FM...Watu wameshaona kwa vitendo mateso chini ya ccm, whats the sense kuzima sauti tu?...Majibu ya 31 october watayazimaje?
 
Wakuu mwenye habari nzima atujuze ndo tuchangie!!

What does TCRA mean ''wamejiingiza kwenye siasa?" Maana habari si ni habari tu...

Mwenye habari kamili tuwekee hapa!
Mkuu, HAbari nzima ya kuleweka haiwezi kuwepo kwani we hujui hivi vyombo vilivyo undwa na JK Vinavyo fanya kazi zake!?:mad2:.
Vikiamua hata wewe unaweza kufungiwa.:becky:
 
Hata mimi nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti kwenye ya redio hapa nchini,lakini sijui ni gazeti lipi,walioko dar watuwekee hii story ili tujue pa kuanzia maaana kama ni redio kujiusisha na siasa zipo nyingi tena hizi za kijamii.

nimepekua mtandao wa IPP,Majira nk sikupata hii habari
 
Back
Top Bottom