kampeni za igunga zilipamba moto kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kampeni hii inatokana na chadema kuitafuta nafasi ya pili katika uchaguzi mpaka kufikia kutumia sh 600 millions, na hasa dhamira ya chadema huwa ni kuishinda cuf sio CCM, na hii ndio imepelekea kukosekana ushindani baada ya cuf kujitoa, je ni kwa sababu ya kuogopa kampeni zinazofanywa ndani ya nyumba za ibada na vyama hivi hususani makanisani? au ni kuogopa kupoteza pesa? hii imepelekea chadema kujihakikishia nafasi ya pili, tunawaomba cuf msiogope kuingia katika chaguzi kwa kuogopa siasa za UDINI, waelimisheni wanainchi watawaelewa tu.