Kudorora kwa kampeni ya Arumeru sababu CUF haipo?

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
kampeni za igunga zilipamba moto kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kampeni hii inatokana na chadema kuitafuta nafasi ya pili katika uchaguzi mpaka kufikia kutumia sh 600 millions, na hasa dhamira ya chadema huwa ni kuishinda cuf sio CCM, na hii ndio imepelekea kukosekana ushindani baada ya cuf kujitoa, je ni kwa sababu ya kuogopa kampeni zinazofanywa ndani ya nyumba za ibada na vyama hivi hususani makanisani? au ni kuogopa kupoteza pesa? hii imepelekea chadema kujihakikishia nafasi ya pili, tunawaomba cuf msiogope kuingia katika chaguzi kwa kuogopa siasa za UDINI, waelimisheni wanainchi watawaelewa tu.
 
Tukiwaambie nyie CUF ni mke wa CCM tutakuwa tunakosea? Mnachojua ni kupambana na CDM na si CCM.Ama kweli nyie ni CCM B
 
wana arumeru hawategemei uongozi kuendelea.hawawezi kuacha kazi na kwenda kusikiliza porojo za wanasiasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom