Kudhalilishwa: Anna Makinda kuongea na waandishi?

Sasa kama CCM chama kikongwe kuliko vyote wanasutana kwenye media mbele ya hata vitoto vya shule za vidudu, vyama vilivyobaki wafanye nini??

vita ya kitoto inaendeshwa na wazee waliotakiwa kuwa wamestaafu

Hata sijui kwenye vikao vyao vya kichama huwa wanatazamana vipi..
 
Wako wengi waliowekwa na Magamba Ngeleja,Malima,Serukamba ,spuka wa sasa Anne.
Kitu kimoja ambacho nampedea double S ,Samuel Sita ni kusema ukweli haogopi mtu na hamsingizii mtu,huyo Anne kasahau alivyomsema Sita huko njombe kuwa Sita ndie anakiyumbisha chama na wala hajui kazi ya uspika,kama uongo huyo RA alimfuatia nini huko Iringa,RA huwa hafuati mtu yeye ndie anafuatwa ukiona anakufuata basi ujue una maslahi makubwa naye
 
huyu mama anajua hata kuongea kwenyewe au anataka kuji frustrate tu ....
 
Ili mradi wasideviate minds zetu na kuhama kutoka kwenye hoja za msingi. Kutaka kuita press ndiyo hasa nature za mama zetu.Wakianzwa humaliza.Mimi ningemshauri Anne M. ampuuzie Sitta. Kwa shutuma alizotoa inaonyesha kabisa anategemea sooner or later mtu kutoka kambi tofauti na yake ataita press kujitetea. Ndiyo anachotaka. Hata hivyo nadhani Lowassa alisikia Sitta karekodi kipindi, akaona naye aite press na telecast yake itoke mapema kabla ya ile ya Sitta. Anyway.Yetu macho.
 
Sitta ni Kiongozi Makini na Muelevu! Tatizo lilopo ni kuwa Mpaka sasa Mapacha watatu wanatambua Sitta anakubalika kati ya walio Wengi ndani ya CCM! Na hapa kinachoangaliwa zaidi ni namna ambavyo Fisadi Lowasa anavyoandaa Mashambulizi ya Kuingiza Mamluki 2015 kwenye Kiti cha Urais na kwao Hakuna Mtu Hatari kama Sitta!

Utafiti wangu mm nilifanya kwa kuingia Shule za Msingi na kuuliza watoto wanaomaliza Darasa la Saba kila Mwaka na Kila niliyemuuliza!

Lowasa ni nani ?, Nao wanajibu bila kutetereka! tunafahamu ni huyu aliyefidi Nchi yetu na Kampuni ya Richmond juu ya Umeme wa Dharura!

Je! Unategemea kwa Hili la Anne Makinda asiyejua nani.

Fanya utafiti ndani ya CCM kwa siri na wanachama ngazi zote ujue ni Nani anaye Vuruga Chama kama si Lowasa na Kumuingiza Anne kwenye Kiti cha Uspika!

Nani asiyejua kuwa Rais wetu Mpendwa Kikwete kazidiwa nguvu na swahiba wake wasiku nyingi na Kundi lao :BOYZ II MEN: Lowasa!

Sisi tunaojua kuwa Lowasa si wakumvamia kwa Pupa maana unaweza kwenda Mzima mzima maana Ngome yake ndani ya Nec na CC ni Nzito zaidi ya Chini na Hata Usalama wa Taifa Wakuu wa Majeshi wetu wanatambua Nguvu ya Lowasa katika Kuongoza nchi akiwa nje ya kiti chake kama Waziri Mkuu!

Watanzania ni Lazima mfungue Macho yenu na Kutambua Lowasa tunatakiwa twende nae Hadi 2015 na Hapo ndipo tunaweza kumaliza nguvu yake ya Kisiasa ndani ya Taifa Letu la Tanzania maana si Rahisi kwa sasa Kumvamia na Kumng'oa maana ni Kiongozi mwenye nguvu ya Ushawishi na Mwenye Akili sana kumzidi hata Maarifa Rais wetu!

Hivyo Sitta anavyozungumza anajua Mchezo unavyotakiwa kwenda kwa Step na Akili nyingi Maana ukienda kwa Papala Lowasa anaweza kummaliza pasipo ushahidi.

Kama ni Vita Sitta na Mtandao wake ni lazima waendelee maana Hakuna Kiongozi asiye na Mtandao, Na siku zote kiongozi asiye na Mtandao hupotea mapema sana! Ushahidi mdogo mtandao wa Mfalme DAUDI ulianza kwa Mtoto Mrithi wa Mfalme Sauli, Gadafi kauawa baada ya Mtandao wake kuisha kabisa!

Hivyo ili watanzania tuweze kufanikiwa ni lazima Anne aondoke katika Mtandao wa Lowasa au aeleze watanzania yuko Upande gani Maana Sitta anafahamika tayari Mtandao wake!.

nyooh Raisi wetu mpendwa wewe na nani mkuu???
 
Kuna tofauti kati ya kudhalilishwa (tena sio kuzalilishwa mtoa mada jifunze kiswahili) na kuongea ukweli. Sita kasema kweli hajaongopa
 
Nani asiyejua kwamba ni kweli makinda kawekwa kwa nguvu ya mafisadi!!! Sitta kaongea ukweli tangu lini kukawa na viti maalumu kwenye uspika??????
 
Jana katika kipindi cha dk45 cha ITV waziri wa Africa mashariki

S. SIta alisema spika wa sasa kawekwa na MAFISADI nimesikia kuwa
mama Makinda anajiandaa kuongea na waandishi wa Habari kwa kuzalilishwa


images

Uchaguzi wa spika, nilikuwepo Dodoma na nilimsikia kwa masikio yangu King Maker (RA) akijigamba kuwa yeye ndio amesuka kila kitu.
Kwenye press co yake ya kwanza, Mama Makinda, nilikuwepo na nilimuuliza hilo swali, alikana kata kata.

Hivyo atakana tena ila ukweli utabaki pale pale!.
 
Double S aliongea vzr saana No Doubt kwa mtu aliye timamu wala awezi kuhoji yaloosemwa na 6 yoote yalikuwa na ukweli ndani yake
 
Back
Top Bottom