Kudhalilishwa: Anna Makinda kuongea na waandishi?

Nguvumali,umenikumbusha mbali MWAKALINGA VS MWAKYEMBE.Imbombo jilipo,yetu macho acha watu wapururane Sitta nae lazima atajibu mapigo hadi raha mpaka 2015 chama kitakuwa hakina mtu.
 
Sitta ni Kiongozi Makini na Muelevu! Tatizo lilopo ni kuwa Mpaka sasa Mapacha watatu wanatambua Sitta anakubalika kati ya walio Wengi ndani ya CCM! Na hapa kinachoangaliwa zaidi ni namna ambavyo Fisadi Lowasa anavyoandaa Mashambulizi ya Kuingiza Mamluki 2015 kwenye Kiti cha Urais na kwao Hakuna Mtu Hatari kama Sitta!

Utafiti wangu mm nilifanya kwa kuingia Shule za Msingi na kuuliza watoto wanaomaliza Darasa la Saba kila Mwaka na Kila niliyemuuliza!

Lowasa ni nani ?, Nao wanajibu bila kutetereka! tunafahamu ni huyu aliyefidi Nchi yetu na Kampuni ya Richmond juu ya Umeme wa Dharura!

Je! Unategemea kwa Hili la Anne Makinda asiyejua nani.

Fanya utafiti ndani ya CCM kwa siri na wanachama ngazi zote ujue ni Nani anaye Vuruga Chama kama si Lowasa na Kumuingiza Anne kwenye Kiti cha Uspika!

Nani asiyejua kuwa Rais wetu Mpendwa Kikwete kazidiwa nguvu na swahiba wake wasiku nyingi na Kundi lao :BOYZ II MEN: Lowasa!

Sisi tunaojua kuwa Lowasa si wakumvamia kwa Pupa maana unaweza kwenda Mzima mzima maana Ngome yake ndani ya Nec na CC ni Nzito zaidi ya Chini na Hata Usalama wa Taifa Wakuu wa Majeshi wetu wanatambua Nguvu ya Lowasa katika Kuongoza nchi akiwa nje ya kiti chake kama Waziri Mkuu!

Watanzania ni Lazima mfungue Macho yenu na Kutambua Lowasa tunatakiwa twende nae Hadi 2015 na Hapo ndipo tunaweza kumaliza nguvu yake ya Kisiasa ndani ya Taifa Letu la Tanzania maana si Rahisi kwa sasa Kumvamia na Kumng'oa maana ni Kiongozi mwenye nguvu ya Ushawishi na Mwenye Akili sana kumzidi hata Maarifa Rais wetu!

Hivyo Sitta anavyozungumza anajua Mchezo unavyotakiwa kwenda kwa Step na Akili nyingi Maana ukienda kwa Papala Lowasa anaweza kummaliza pasipo ushahidi.

Kama ni Vita Sitta na Mtandao wake ni lazima waendelee maana Hakuna Kiongozi asiye na Mtandao, Na siku zote kiongozi asiye na Mtandao hupotea mapema sana! Ushahidi mdogo mtandao wa Mfalme DAUDI ulianza kwa Mtoto Mrithi wa Mfalme Sauli, Gadafi kauawa baada ya Mtandao wake kuisha kabisa!

Hivyo ili watanzania tuweze kufanikiwa ni lazima Anne aondoke katika Mtandao wa Lowasa au aeleze watanzania yuko Upande gani Maana Sitta anafahamika tayari Mtandao wake!.
 
Tusubiri mwisho wake, maana wameanza kurushiana mawe wao kwa wao!
 
hajadhalilishwa, bali yeye ni dhalili, tunamsubiri atakavyojivua nguo hadharani, hakuna mwongozo on that day!!
 
Wakuu mnajua jana usiku nimeota huyu mama kafa gafla tafurahi kama ikitokea kwani itakua pigo kwa mafisadi
 
Sasa kama CCM chama kikongwe kuliko vyote wanasutana kwenye media mbele ya hata vitoto vya shule za vidudu, vyama vilivyobaki wafanye nini??

vita ya kitoto inaendeshwa na wazee waliotakiwa kuwa wamestaafu
 
Back
Top Bottom