Kudhalilishwa: Anna Makinda kuongea na waandishi?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jana katika kipindi cha dk45 cha ITV waziri wa Africa mashariki

S. SIta alisema spika wa sasa kawekwa na MAFISADI nimesikia kuwa
mama Makinda anajiandaa kuongea na waandishi wa Habari kwa kuzalilishwa

images
 
Bibi na bwana wakigombana, waache wenyewe wataelewana, tutabaki na jirani eeeeeeee mtoto wa mama. Kawimbo kazuri sana haka
 
mbona hilo liko dhahiri kuwa mama Makinda kawekwa na Mapacha watatu kama ambavyo Bashe alikuwa awekwe , ama yule Mwakalinga kule Kyela, na hii ni sawa na alivyowekwa January Makamba
 
Jana katika kipindi cha dk45 cha ITV waziri wa Africa mashariki

S. SIta alisema spika wa sasa kawekwa na MAFISADI nimesikia kuwa
mama Makinda anajiandaa kuongea na waandishi wa Habari kwa kuzalilishwa

images

Bora anyamaze aonekane mjinga kuliko aongee
 
Jana katika kipindi cha dk45 cha ITV waziri wa Africa mashariki

S. SIta alisema spika wa sasa kawekwa na MAFISADI nimesikia kuwa
mama Makinda anajiandaa kuongea na waandishi wa Habari kwa kuzalilishwa

images
Aende Mahakamani, hiyo hata mimi Accountant naweza nikasimamia hiyo kesi na nikamshinda vibaya sana makinda.
 
Back
Top Bottom