Kudanganya......

Ndugu yangu MwanajamiiOne,

Ni muhimu sana kutofautisha uongo wa mambo ya kawaida na yale ya msingi. katika mambo ambayo ndiyo nguzo ya uhusiano wenu, basi hapo hakuna utani wala uongo.

Babu DC!!

.....Shabaaash Swahiba! ....
Hapa ndipo nilipokuwa nataka uje...

Je? katika hayo mambo ambayo ndio nguzo ya uhusiano [....?....] panapoingizwa uongo ule wa kudanganywa dhahiri...(uongo unaoujua ukweli wake!)

..... Unajikubalisha utakuwa "unadharauliwa?"
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu MwanajamiiOne,

Ni muhimu sana kutofautisha uongo wa mambo ya kawaida na yale ya msingi. katika mambo ambayo ndiyo nguzo ya uhusiano wenu, basi hapo hakuna utani wala uongo.

Babu DC!!

.....Shabaaash Swahiba! ....:D
Hapa ndipo nilipokuwa nataka uje...

Je? katika hayo mambo ambayo ndio nguzo ya uhusiano [....?....] panapoingizwa uongo ule wa kudanganywa dhahiri...(uongo unaoujua ukweli wake!)

..... Unajikubalisha utakuwa "unadharauliwa?"
 
Last edited by a moderator:
.....Shabaaash Swahiba! ....:D
Hapa ndipo nilipokuwa nataka uje...

Je? katika hayo mambo ambayo ndio nguzo ya uhusiano [....?....] panapoingizwa uongo ule wa kudanganywa dhahiri...(uongo unaoujua ukweli wake!)

..... Unajikubalisha utakuwa "unadharauliwa?"

Kwenye hayo mambo hakuna nafasi ya uongo kabisa.

Mfano, kama Bibi DC hakuwahi kukiri kwa kinywa chake kuwa aliwahi kupata watoto kabla hatujakuna...leo akija na kudai kuwa alipata mtoto/watoto wakati wa foolish age ila aliogopa kunieleza.....hatakuwa na nafasi ya kuongea upu.uzi kama huo!!
 
MwanajamiiOne, kingine ninachokupendea hata kama twaweza shinda kutwa nzima twabishana, usiku haupiti unakuwa ushanielewa arguments yangu...

Am sure unakumbuka vividly reaction yake (uso ukisawajika) siku ulipomwambia udanganyifu wake waujua kwa ukweli wako ulojitosheleza.
Thats why I brought this topic here.
Jitu linadanganya uwongo mweupee pee.....siku ukimwambia acha uwongo wa kijinga, linakutumbulia mimacho kama mjusi alobanwa na mlango :eek: mnxs! .....'hobby' nyingine hovyo kabisa.

Mbona inasound kama vile I always give in kwa arguments zako?
Please!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwenye hayo mambo hakuna nafasi ya uongo kabisa.

Mfano, kama Bibi DC hakuwahi kukiri kwa kinywa chake kuwa aliwahi kupata watoto kabla hatujakuna...leo akija na kudai kuwa alipata mtoto/watoto wakati wa foolish age ila aliogopa kunieleza.....hatakuwa na nafasi ya kuongea ***** kama huo!!

.......Babu huu kwangu ni uwongo mkubwa sana kuwa uwongo aisee............... onset nitakwambia kuwa ninae/o watoto si kitu cha kuficha katu na nikidanganya juu ya hili nitakuwa mpu.mbavu
 
Kwenye hayo mambo hakuna nafasi ya uongo kabisa.

Mfano, kama Bibi DC hakuwahi kukiri kwa kinywa chake kuwa aliwahi kupata watoto kabla hatujakuna...leo akija na kudai kuwa alipata mtoto/watoto wakati wa foolish age ila aliogopa kunieleza.....hatakuwa na nafasi ya kuongea ***** kama huo!!

Hahahaha....take it eazy bro....hii mifano mingine imekalia kama nyimbo mbaya zisofaa kuimbiwa mtoto usiku.....

Waweza Ota ndoto mbaya sana. Kesho ukaamkia kwenye DNA lab....
Sasa je? Unapozungumzia confessions zisizo na tija....huyu shem wetu wa Mwj1 alikosea nini kumtambualisha huyo dada ni ex-school mate wake?

Mie nadhani sie wabantu ni ngumu sana upo na mkeo mnakutana na old flame nawe ukaanza "huyu alikuwa gelofrendi wangu.....!"

Au mwj1 wewe ni mwelewa? ....nijibu fasta nijue jinsi gani ya kukudanganya danganya tu....
 
Hahahha Mbu Sweetheart si bora hata tungekutana nikashtukizwa na introduction?? Sikuwahimwona huyo mdada kabla but nilikuwa "nasikilizishwa" kwenye simu na kulazimishwa kuongea naye kwani ni college mate!! Siku ya siku ufunuo ukatokea na kukuta kuwa kwanza hawakuwa wakisoma pamoja kwa maana ya kuwa hata kozi zao hazikuwa zinatolewa na chuo kimoja. mfano Mwanafunzi wa UDSM na yule wa SUA au MUCHS!! wapi na wapi?

So uwongo ulianza tangu sijamwona live huyo mdada, na hata kumwona live kwangu kulikuja katika kumtafuta nimjue ana nini kabla sijareveal nkijuacho.
 
Hizo introductions zibakie huko kwao...Huku kwetu habari kama hiz ni siri ya mtu kufa nayo...

Hakukuwa na sababu ya huyo baba kujishebedua eti huyo dada alikuwa ex-school mate wake wakati ni hawara. Yaani kufikia hatua ya kumtambulisha hawara yako kwa mkeo ni upu.uzi na upu.mbavu wa hali ya juu...

Anyway, ngoja niishie hapa kwani nataka kwenda kwenye professions za wenyewe!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahha Mbu Sweetheart si bora hata tungekutana nikashtukizwa na introduction?? Sikuwahimwona huyo mdada kabla but nilikuwa "nasikilizishwa" kwenye simu na kulazimishwa kuongea naye kwani ni college mate!! Siku ya siku ufunuo ukatokea na kukuta kuwa kwanza hawakuwa wakisoma pamoja kwa maana ya kuwa hata kozi zao hazikuwa zinatolewa na chuo kimoja. mfano Mwanafunzi wa UDSM na yule wa SUA au MUCHS!! wapi na wapi?

So uwongo ulianza tangu sijamwona live huyo mdada, na hata kumwona live kwangu kulikuja katika kumtafuta nimjue ana nini kabla sijareveal nkijuacho.

Duuuuuuuuuuuuuuuhhhhhh,

Naona dada yangu ulifanywa msukule....

Ila kuna vitu ambavyo kwa wale wanaopenda kusoma soma (zamani tuliita wasongo), wangejitajihidi kutafutia MA au PhD ya bure....Kulikuwa na motive gani kwa mtu kumtambulisha hawara kwa mke wake na kujaribu kuwagonganisha eti wawe marafiki??

Something must have been very right or wrong somewhere.....I wish I could find out!

Babu DC!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
......Kulikuwa na motive gani kwa mtu kumtambulisha hawara kwa mke wake na kujaribu kuwagonganisha eti wawe marafiki??

Something must have been very right or wrong somewhere.....I wish I could find out!

Babu DC!!!

.........si ndio maana nikauliza UNAPODANGANYA ILHALI UNAJUA UNAYEMDANGANYA ATAUJUA/ANAUJUA UKWELI unakuwa umejiaminisha nini...

Labda ni UJINGA WAKO(mdanganyaji) au madharau kwa "UJINGA?" wa mdanganywaji?
 
Unaonaje [MENTION][/MENTION],... Haiwezekani kwamba mtu anajiamini sana kiasi cha kumwona mwenzake kama ni kilaza/kiazi?

Babu DC!!

......Naam...!

Huwezi mdanganya mtu mpaka ujiaminishe kwanza UMDANGANYAE ni Zoba, boonge la Bw.ege Mtozeni, Zumb.ukuku Ulimwengu upo huku....

....Yaani ....Anajiaminisha amekushikia akili yako yote na milango ya fahamu na uelewa...Huna utakalo ambiwa bila yeye kukupa Tafsir iliyo 'sahihi!'...
 
Hahahha Mbu Sweetheart si bora hata tungekutana nikashtukizwa na introduction?? Sikuwahimwona huyo mdada kabla but nilikuwa "nasikilizishwa" kwenye simu na kulazimishwa kuongea naye kwani ni college mate!! Siku ya siku ufunuo ukatokea na kukuta kuwa kwanza hawakuwa wakisoma pamoja kwa maana ya kuwa hata kozi zao hazikuwa zinatolewa na chuo kimoja. mfano Mwanafunzi wa UDSM na yule wa SUA au MUCHS!! wapi na wapi?

So uwongo ulianza tangu sijamwona live huyo mdada, na hata kumwona live kwangu kulikuja katika kumtafuta nimjue ana nini kabla sijareveal nkijuacho.

......mnh?

Soulmate wangu, ....ilikuwaje nawe ulijikubalisha Yeye awe ndio Kamusi,.... Dictionary, .....Thesaurus wa Akili yako?

Dont blame him bana, ulimpa " ufalme wa nyumba!"
 
Unaona sasa unavyojiingiza mwenyewe?

Hebu muulize mzee mwenzangu Asprin akukatia wasia kidogo!!

Kuna wanaume ambao kitendo cha kujishitaki ni sawa na suicide bombing!

Hii michezo nyie ione hivi hivi....Hakuna refa wala mchezaji anayeweza kujidai kuwa ni star!!

Babu DC!!
Mzee mwenzangu Dark City, hapo kwa red hapo umemaliza kila kitu.

Na kwa bahati mbaya sana na utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi "wanaojishtaki" kwa wenzi wao wanakuwa wamewapa "silaha za mashambulizi". Kila unapotokea kupotoka kidogo, mtu anarecall "shtaka" lako afu unarushiwa kombora "kwani sikujui, si kawaida yako, au unafikiri nimesahau?"

Nadhani mjukuu wetu MwanajamiiOne atakuwa amekuelewa.

Hivi leo jumangapi vile?
 
Last edited by a moderator:
duu kuna mtu alidanganya na nikajua kabisa ananidanganya, na kumesa ile ouongo ilikuwa ngumu sana,

uongo wenyewe ulikuwa hivi, sitaki kufanya kazi tanzania kwani hakuna anaeweza kunilipa hapa, huyu mtu ana kadegree kamoja tu ka accounts, nikauliza wapi watakulipa vizuri nikaambiwa sudan kusini, na kazi nshapata, kumbe uongo tu yupo hapa hapa simu yake nlomweka vodaa jamaa hata gharama za kupiga hazibadiliki mtu yupo sudan . tuligombana sana na hiyo sudan, mpka nilipoaamua kwenda huko sudan na sikumkuta.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom