Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 176
Inasikitisha kuona ya kwamba CCM na serikali ambayo ilikua inaimiza uchaguzi wa amani.Lakini ni CCM hiyo hiyo inayojenga mazingira ya vurugu kwa kuchelewa kutoa matokeo.Kuwaweka wananchi katika makundi muda mrefu kusubili matokeo ambayo tayari yanafahamika ni kitu kisichovumilika.KUNANINI INATAKA KUKIFANYA CCM MMESHINDWA ONDOKENI KWA AMANI AMANI KWA TANZANIA IKO MIKONONI MWA CCM WATANZANIA HAWADANGANYIKI MUNGU IBARIKI TANZANIA