Yaras
Member
- Jul 10, 2023
- 7
- 7
Habar!
Mimi ni mkaazi wa Zanzibar (unguja) niliomba kuunganishiwa huduma ya internet kwa njia ya wire(fiber) katika ofisi za TTCL tokea mwaka jana 2023 , mara ya mwanzo kufika ofisini KIJANGWANI ZANZIBAR walinambia nijaze form, nikaja na kukabidhi ile form!
Nimekaa karibia miez 8 kila siku ikawa wananizungusha mara wire umeisha mara tunakuja after two weeks, last year October nikaenda tena ofisini wakaniambia niombe kwa njia ya online , nikaomba tena na kwa bahati nzuri hapa mtaani nilipo kuna jirani zangu nyumba 3 wanataka hiyo huduma ! Na wao pia wameomba ila hadi leo hii hakuna taarifa yoyote!
Naomba mpaishe sauti juu hali
Ahsante