Kuchakachua Vodafone K3565-Z modem

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,011
Heshima mbele..

Samahani kwa wadau kama hili suala lilishajadiliwa, maana tool ya 'search' ya JF imekuwa ya hovyo sku izi.

Ni hivii..natafuta means ya kuchakachua hii modem ya Vodafone K3565-Z ya Voda ili nieze kuingiza line ya tIGO.

Natanguliza shukran
 
Acha ufisadi kanunue ya Tigo kama unataka kuhamia tigo. Au jaribu kujifanya umeingia ofisi ya voda alafu useme upo ofisi ya tigo itafanya kazi....

acha wizi wa kijinga.
 
Acha ufisadi kanunue ya Tigo kama unataka kuhamia tigo. Au jaribu kujifanya umeingia ofisi ya voda alafu useme upo ofisi ya tigo itafanya kazi....

acha wizi wa kijinga.

We kenge kweli, kaa hujui unachoongea kaa kimya kuliko kudhihirisha upumbavu wako ili kila mtu ajue ulivo mtupu.

Modem nimenunua kwa ela yangu na basically NI YANGU, na naifanyia utundu ili iweze kutumia line (yangu) tofauti, ikishawezekana naijaza hiyo line(yangu) pesa (zangu) ili niweze kutumia modem ileile(yangu). Sasa uizi gani huo unaouzungumzia?

Sku nyingine usrudie kuleta UHARo wako kwa ishu usizozielewa. pambaf.
 
Heshima mbele..

Samahani kwa wadau kama hili suala lilishajadiliwa, maana tool ya 'search' ya JF imekuwa ya hovyo sku izi.

Ni hivii..natafuta means ya kuchakachua hii modem ya Vodafone K3565-Z ya Voda ili nieze kuingiza line ya tIGO.

Natanguliza shukran
Soma thread moja kwenye jukwaa hili hili, chini kidogo ya thread yako utaona thread nyingine "Msaada, modem ya vodafone ZTE" fuatilia maelekezo na bila shaka utafanikiwa. Hata mimi nilikuwa na shida sawa na yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom