plz how to debrand vodafone k3565-z

sumni7

Member
May 8, 2012
71
10
naombeni kwa anayejua namna ya kudebrand dashboard ya modem(vodafone k3565-z),ofkoz modem iko onlocked shida ni kukonect internet kwa kutumia line tofauti na vodacom,niki2mia dialup conection inakubali kwa line yoyote natanguliza shukrani
 
JARIBU HII SOFTWARE VODA DASHBOARD
 
thanks nimedownload then nimeinstall kwenye mashine inafanya kazi vizuri wat if nikitaka kutumia hii modem kwenye mashine nyingine itabid nako niinstall?amin hakuna uwezekano wa ku write hii ki2 kwenye modem
 
Mkuu inawezekana kudebrand hyo kitu kwa kufuta iso ya voda na kuweka unlocked iso kama join air tatizo ni moja unatakiwa ufanye backup ya vodafone mobile broad band driver za modem yako kila utakapokuwa unakwenda kwenye pc nyingine bila hivyo haiwezi kufanya kazi kwa ushauri wangu weka memory card kwenye hiyo modem yako ambayo itakuwa inabeba dashboard ya zte join air.
 
Good solution.
 
Back
Top Bottom