Kubenea ni kibaraka wa CHADEMA!!!

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
Nimepata kusoma kusoma makala tofauti na habari nyingi zinazoandikwa na mwandishi Said Kubenea wa MwanaHalisi makala zake siku zote huwa ni kuishambulia CUF na viongozi wake.

Hatujui kuna ugomvi gani kati yao kwani mwanzoni Kubenea alikuwa mwanachama wa CUF na aliwahi kuwa kampeni meneja wa Prof Lipumba katika uchaguzi wa 2005 kwa kweli ni mtu mwenye matatizo makubwa kwani aliweza kuiba CD za mgombea na kuzipeleka CCM na hii ilitokana na njaa aliyokuwa nayo kwani yeye kwake ni pesa mbele na anatembea na bango matangazo mgongoni ndio maana hakuona wa kumbandua ila alikimbilia kwa mh mbowe, yupo tayari kutumia kalamu yake hata kuwa chafua viongozi wazuri kwa maslahi binafsi.

Wanainchi tujihadhari na mwandishi huyu ni hatari.
 
Kubenea ni mwandishi mwenye hatari, kwa nchi yetu ambayo tunatamani amani idumu daima watu kama Kubenea hawahitajiki kabisa!!
 
we lazima utakuwa KIGHOMA MALIMA a.k.a JOHAN ERNEST MALIMA...pole sana!mana jns jamaa alvokuumbua ata kukanusha huwezi,afu umeandka tittle wch does nt reflect the content...pole sana JOHAN
 
Kubenea is not a professional journalist but rather a mercenary who has invaded the media industry for his own benefits.
 
Wewe CUF Ngangari ndiwe hatari unayeingia muafaka ili nchi yetu iendelee kutawaliwa na wezi na wala rushwa, huna huruma na Watanzania una machozi ya mamba tuu!!!!!!!!!!Kubenea ni mwandishi mahiri kwanye hii taaluma ya uandishi tena anahuruma sana na wananchi Watanzania, anatetea na kutoa hisa kimaandishi za watu makini wanaotaka kuondoa utawala huu wa kifisadi!!!!!!!!!!!!
 
Hatujui kuna ugomvi gani kati yao kwani mwanzoni kubenea alikuwa mwanachama wa cuf na aliwahi kuwa kampeni meneja wa Prof Lipumba katika uchaguzi wa 2005 kwa kweli ni mtu mwenye matatizo makubwa kwani aliweza kuiba cd za mgombea na kuzipeleka ccm na hii ilitokana na njaa aliyokuwa nayo

Kwa hiyo hapo kwenye red ndio sababu hao CUF wakaamua kummwagia Tindikali machoni!!!????
 
CUF Ngangari umeibukia haumu kumchafua Kubenea ehee, tindikali haikutosha sio, SHINDWA KABISAA!!!!!!!!!!!!
 
Kubenea is not a professional journalist but rather a mercenary who has invaded the media industry for his own benefits.
Tunakufahamu sana wewe...wewe pia si unamaslahi na rostam aziz??? Haya endelea kutetea maslahi hako hapa...
 
Kubenea is not a professional journalist but rather a mercenary who has invaded the media industry for his own benefits.
Ohooooh wameshusha mzigo mwingine,FF mzima lakini msalimie Nape mwambie ujumbe mmeufikisha,ila tume upuuuza.
 
siku zote msema kweli huwa apendwi na hilo ndo linamkuta kubenea ni mwandishi anayeweka wazi mambo na hausiki na chadema sema wote wanasema ukweli na kufichua maovu ya viongozi wa nchi hii
 
  1. Kubenea SIO mwandishi wa habari by profession..
  2. Kubenea ana elimu ndogo
  3. Kubenea ni mganga njaa yuko tayari kufanya au kutoa lolote kwa ajili ya pesa
  4. Kubenea sio mwaminifu.......
  5. Ameshawahi kupatwa na kashfa za utapeli
 
Mambo vp mrembo. Ulipotelea wapi switii! Wateja wako kule maeneo tumekumisi sana.
<br />
<br />
Nipo sweet, we ulinichosha sana siku ile yaani kamtalimbo kako kadooogo halafu hakasimami mpaka nichokonea tigo yako na toothpick bwana.
 
Nipo sweet, we ulinichosha sana siku ile yaani kamtalimbo kako kadooogo halafu hakasimami mpaka nichokonea tigo yako na toothpick bwana.
Ndo maana jukwaa hili sio lako. Nenda kule kwenye jukwaa la mapenzi ukatangaze kuwa unatafuta mwanaume atakaye kuoverhaul, manake ndivyo ulivyozoea. Utawapata watakaokufikisha! Ila kama sikukufikisha si unirudishie basi angalau chenji?
 
Mkuu mbona unaogopa kivuli chako mwenyewe?? Umesema alikuwa CUF sasa tatizo lipo wapi hapo?, Tatizo lenu nyinyi CUF ndoa ya mkeka na CCM inawasumbua, mbona mnakuwa na wivu wa kijinga?. Kubenea kama mwandishi wa habari lazima ataegemea sehemu ambayo anaweza kuuza kazi zake, Magamba, Cuf hawana jipya na wananchi wamewachoka, kaa fikiria hata kwa matak* Cuf wana habari gani ambayo unaweza kuandika katika gazeti na habari ikauza au hata CCm wana habari gani ambayo inaweza kuwa headline na ikauza gazeti lako. Navyojua mimi CHADEMA ndio chama pekee ambacho habari zake zinauza kwenye magazeti ( zina make headline) kuliko chama chochote hapa Tz. Siku nyingine tumia kichwa kufikiria badala ya makalio.
 
Back
Top Bottom