Pole kwa kuwa katika hali hiyo ya kutaka kubadilisha jina,lakini sielewi sababu ya kubadilisha jina ni nini,labda utujuze.Hivi unajisikiaje kama tangu umezaliwa jina lako ni ABCD na watu wamekuzoea hivyo leo uitwe 1234?Kwa nini unataka ubadilishe identity yako?Kama unaona ngumu kusem hapa just Private Message me.Samahaani wana jamvi nilikuwa nna tatzo moja nilikuwa nataka kunadilisha jina langu na sasa hivi nipo chuo diploma ndo namaliza mwezi wa sita nataka nibadili jina kwenye vyeti vyangu vyoote jee kuna tatzo au kuna step zozote ambazo natakiwa kuzifata?
unaweza. Nenda kwa mawakili.Kuna document inaitwa Deed Poll. Itataja majina yote umewah kutumia,then itayadenounce na utaadopt moja kati ya hayo au jipya kbs. Kisha unaenda kusajili kwa msajili wa hati ofisi ziko pale wizara ya ardhi.
Gharama kwa msajili ni elfu 82..elfu 80 ya usajili,elfu 2 stamp duty. Gharama za wakili na muhuri wake maelewano tu.
tafuta wakili akuandikie deed poll then utaenda kuilipia 85,600 hivi wizara ya ardhi gorofa ya tatuSamahaani wana jamvi nilikuwa nna tatzo moja nilikuwa nataka kunadilisha jina langu na sasa hivi nipo chuo diploma ndo namaliza mwezi wa sita nataka nibadili jina kwenye vyeti vyangu vyoote jee kuna tatzo au kuna step zozote ambazo natakiwa kuzifata?
Sasa kama hakuna steps ulijua unafuta na correction fluid halafu unaandika jina unalopenda? Maswali mengine bwana D
Mwaka 1978 Kenya kulikuwa kuna mchezaji anaitwa Otieno Mboo.
walifanikiwa kufika Fainali ila huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali,
Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari "WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO", Raisi akazuia magazeti yote na kusema warekebishe hiyo sentensi....
Walibadilisha na kesho yake kuandika "WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE"
Siku ya mechi Wanawake walifurika Uwanjani..
kama unajina kama hilo nakushauri ubadili coz utapo kuja kuwa kiongozi mkubwa hapa nchini itakuwa ni shida tupu.
just imagine gazeti liandikwe "WATANZANIA/CCM/CHADEMA KUONGOZWA NA MBOO... "
Itakuwa majanga nchini.