KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Wana JF wote mambo vp?. Naombeni kuuliza kama simu yangu inao uwezo wa kuangalia tv live kama aljeezra simu ninayotumia ni nokia E61i
Nenda katika nokia ovi store na udownload DsTV Mobile app---itazikumba kawa wingi 3G/3.5G yako tu ndo muhimu.
Link: www.ovi.com