Kuachana na mpenzi wa muda mrefu

Anfibix

Senior Member
Dec 1, 2018
190
308
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
 
Siyo kuwa na mawazo hasi kila siku, pengine kuna sababu ambayo si kuwa hakupendi
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mwache aende na jipe muda kupumzisha hisia... Angekuwa bado ana nia nawe asingefanya hayo afanyayo
 
Achana nae..nini ku spend energy kwa kitu hakipo?...

Muache uwe na Amani,

ukimuacha utakua free ku date again,

sasa hivi ataku date utakua unafeel guilty...

Close the chapter mamii and move on...
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mmmh miaka mitano ndomingi? Unako kuja nipagumu kuliko unako toka ukikua uko kwetu wanavituko zaidi ya kublockia simu.....
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
uyo jamaa ameshaoa.
 
Ugumu unakuja kama amekugegeda mara infinity....haihesabiki na labda amekubadilisha status kama vile mama marehemu n.k
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
 
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mkuu huyo hakupendi tena huo muda wako bora ufanye mambo mengine hakunaga mapenzi siku hizi
 
Mtafute muonane uso kwa uso, muwekane kikao!pia
Sikiliza moyo wako unakuambia nn!!
ukishajiingiza kwenye mapenzi mawasiliano ndio nguzo tena hasa mapenzi yenyewe yakiwa ya mbali

Ukishaona mtu anaamua tu from no where anazima sim bila taarifa na hata akipatikana hakupi majibu stahiki unamulika mwizi tu

Kuna watu ambao s rahisi kukutamkia tuachane lakini matendo yake kwako yakaashiria dalili zote za pendo hilo kufika tamati na kuvunjika sasa ni mlengwa tu kujiongeza

Yan unakua na mpenzi and then unaishi maisha kama uko single ajiongeze tu apotee na yeyr hata asimblock akae kimya na yeye

Unaweza ukasema waitane waongee lakini amini mtu akishatia nia jambo lake kumgeuza arejee pa awali ni ngumu hasa nafsi ikishatoa maamuzi ubongo nao ukashiriki anaweza jibu ntajirekebisha halaf yakaja kua mabaya zaidi
 
Umesema hakutafuti hadi akiwa na shida yani wewe ni mtu wa mwisho mawazoni kwake maana raha zote anawatafuta watu wake wa karibu na siyo wewe
 
Ule mtaji wakati ule ulimpatia?

Na je alifanikiwa kurudi kazini?
 
Back
Top Bottom