Ku back up whatsaap message kutoka kwenye simu iliyo kwenye memory simu yenye OS tofauti

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,140
3,767
Hi,

Nilikuwa natumia window na sasa nimehamia android, nina shida namna ya kuback up sms nilizokuwa na chat.

Kabla sijabadili simu nili backup kila kitu kwenye memory card.
 
hi,
nilikuwa natumia window na sasa nimehamua android ,nina shida namna ya kuback up sms nilizokuwa na chat .
kabla sijabadili simu nili backup kila kitu kwenye memory card
Fungua setting menu ya whatsapp angalia chat and calls fungua nenda chat backup angalia weka email yako fanya backup ukimaliza uninstall download kwenye android yako weka email yako fungua whatsap fanya backup hapo utakuwa umemaliza
 
kwa bahati mbaya nili back up kwenye memory card
 
kwenye simu ya wp fungua file manager halafu nenda folder limeandikwa whatsapp utaona folder limeandikwa backup, copy folder zima hilo kapaste kwenye android yako nafikiri same directory
 
Back
Top Bottom