minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 66
Kwenye 'Mwananchi' la jana, katuni ya kipanya inaonesha CCM (kombati la kijani) akishika remote control kuiendesha tv (Tanzania); huku nyuma ya huyo CCM akiwapo 'ponjoro' ambaye pia ana rimoti ya kuiendesha tv hiyo huku Kipanya akiuliza; " na huyo wa nyuma ni nani?"
Bila shaka msanii huyo atakuwa anamaanisha chama tawala; na huyo wa nyuma bila shaka atakuwa wa jamii ya kihindi, kiarabu au kiajemi (irani).
my take:
Ni 'ponjoro' gani anayeiongoza CCM na Tanzania kutoka mlango wa nyuma kwa mujibu wa KP?