Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

Kova niiwahi kumshuhudia kwa macho yangu akichukuwa rushwa kutoka kwa mama mhindi wa duka la pombe la Mohans pale ostabay. Tena kilichonishangaza zaidi ni kuwa kova alichukua rushwa hiyo akiwa na siku chache sana toka ahamishiwe DSM kutokea Mbeya. Duka lilikuwa limevamiwa na majambazi waliopora pesa, na Kova alipotembelea pale ndicho kisa kilichompa mazingira ya kulamba rushwa.
.
 
KOVA,anaitaji ushauri nasaa,Tume ngapi zimeundwa,mmepeleleza matukio mangapi,Majibu yako wapi?Mimi nadhani Kova anataka kugombea Ubunge ndio maana anatafuta umaarufu wa kijinga.Katika jeshi letu la polisi kunamsemaji wa jeshi lakini utamkuta Kova anatoa taarifa na kuongea na waandishi.Je msemaji wa jeshi anakazi gani?Haya Dr,Ulimboka mmemteka na kumfanyia mliyo yataka.Sasa kunawalimu wanagoma,Madereva wa wabunge wanagoma na watumishi wengine watagoma.Je mtawateka wote na mtawapeleka wapi?Maana Msitu wa Pande utakuwa umejaa walimu mliowateka.
 
Tunajua mapolisi wote shule ziliwapita kushoto.

Sifa za kujiunga na jeshi la polisi ni Form 4 au 6 failures. Kwa hiyo huko POLISI WAMEJAA MAJUHA AMBAO SHULE ZILIWASHINDA! NDIYO MAANA HATA UTENDAJI KAZI WA POLISI NI WA KUTILIA SHAKA SANA SANA!

KOVA ni kihiyo,kibuyu wazi na juha wahead. Hivi anafikiri Watanzania wote ni mabwege kama polisi wenzake? KAMA AMENG'ANG'ANIA KUFANYA UCHUNGUZI MBONA MPAKA SASA HAJAKAMATA HATA MTUHUMIWA MMOJA???ANACHUNGUZA NINI HUYU MWENDAWAZIMU???

Sipati picha!
 
bora wawe wanachapwa makofi na wanajeshi na kutemewa mimate hivyo2 maana tumechoka,mi naomba siku moja wamchape na huyo kovu wao.bora jeshi litawale tujue moja kuliko maomivu tunayopata bila chuki
 
kova-makengeza; si ndo yule alipigia saluti mwili wa marehemu Kanumba(R.I.P)?

amna ki2 pale; hewa tu zimejaa kichwani na misifa ya ulevi wa madaraka.

Ndugu, kanuni na sheria za jeshi, mwili wa marehemu au maiti yoyote hata ungekuwa ni wewe, askari/mwanajeshi anapaswa kukupigia saluti. Kova hakukosea kuupigia saluti mwili wa kanumba
 
Nashukuru kwa kuwepo Jamiiforum, imenifanya nijue mengi sana.


" One of my beliefs very strongly is that any democracy depends on a free healthy Press."

Steve Jobs.

Source: http://www.youtube.com/watch?v=lz8aU1EXkBA&feature=related (39:17-39:27)
 
Duh! simchezo! nimeamini kwamba Msangi sio mtu safi, sasa serikali yetu itafika wapi kama inatumia watu wachafu kujisafisha...
 
Matumizi ya nguvu dhidi ya matakwa ya jamii hayawezi kukubalika.Hii siyo ishara ya serikali inayoheshimu watu na haki katika kuwatumikia wananchi.Tuungane kuondoa serikali ya aina hii
 
Kova ni Mpuuzi sana. Analeta amri zake za kambini Uraiani? Ishu hapa siyo Msangi kuongoza Tume! Ishu ni uhalali wa matokeo ya Tume! Lakini simshangai ndivyo maaskari wote walivyo badala ya kujenga hoja wanatunnisha misuli. Hovyoo!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com

kaka uyo kova ni kibaraka sana kama mwigulu na elim yake, ni kwel polis weng wapo kama kova withpoor reasoning capacity ukijumlisha na ukibaraka unapata gamba sugu hao wote tuwaondoe ata kwa maandamano 2015 na tuwatie kiberit wao na familia zao mana kizaz mavi kabisa. BUT wapo polis wajanja na waelewa sema tu hawana jins ya kuwabana magamba, TUAMKE KWA NGUVU YA KURA IKISHINDIKANA TUINGIE ROAD ME NINA HASIRA SANA NA MAGAMBA
 
Huwa najickia kwenda Choo inickiapo jina "KOVA!!" hili jamaa nililiona bobge la Kamanda kumbe hovyo kabisa. Hamna lana mbaya kama kula kiapo then kutotii kiapo chako... Ole wako KOVA...
hivi jamani kuna mtu ambaye hajui katika makamanda wengi hata wale waliostaafu wa jeshi hili la polisi walilidhishwa tabia ya ujambazi na yule BABA yao OMAR MAHITA Ngunguli kwa hiyo hata iweje ni lazima watete ujambazi hasa katika kipindi hiki cha wao kujiandaa kustaafu, majuzi tumesikia kontena lililokuwa na marobota ndani katoni za lactogen feki na matokeo yake amri ilitoka kuachiwa kwa mzigo huo, sasa kama hili la kontena limeachiwa kwa amri ya mkubwa mmoja je katika hiyo tume wategemea nini hata majibu yake kwa wananchi hayatukuwa sahihi sababu inawahusu vijana wao waliohusika katika sakata hilo.
 
Huyo Kova kwanza akili yake sijui kama iko sawa, naye ni wa kupeleka Milembe kwanza akachekiwe.
Pili hata yeye nadhani ni jambazi sugu kwa maana anaona kila kitu kwake ni sawa. Ila siku moja tu Mungu atawaumbua tu
mateso sio hapa duniani malipo ni Mbinguni.
 
Nashukuru kwa kuwepo Jamiiforum, imenifanya nijue mengi sana.

Kova huwa hana busara hata kidogo yeye ni mibavu tu, na hilo siyo kengeza bali miaka ya nyuma ilipokuwa kama sikosei OCD Arusha alifumaniwa na mke wa mtu, na mwenye mke ndiyo aliyempofua hilo jicho, askari wa miaka ya nyuma waliyofanya kazi Arusha wanajua hilo.
 
Kama kweli hawajausika si wangekubali tume huru?

Huku kung`ang`ania kunaleta wasiwasi mkubwa.
Tume huru muhimu sana kwa swala hili.
 
Sasa mtu huyu ndio kiongozi wa uchunguzi wa Dr. Uli kweli kuna kitu hapa au ni uchafu juu ya uchafu.
 
Kwa kova Msangi ni mtu safi kwani akimwagiza ua anaua kwa maana hawezi kutambua amri halali na haramu. Si unaona hata katika hiyo barua si unaona donald analalamika kutopewa ushirikiano?
Hapa inabidi JK atafakari tena kauli yake, maana serikali inaonekana kuhusika! Kova akiwemo
 
Lugha ya wenyewe hii uhuru nilimaanisha Suspect!
Alafu simple logic jeshi la polisi halina watu wengine zaidi ya msangi!
Wanamuweka kwenye jopo ili kutupotezea tusahau kuwa hakuhusika!
Jamani zama izi sio zile za 1980 where you can fool watu kwa uongo!
Forums zinaanika wewe unaficha!
 
Ni sawa mwanangu umefeli lakini utakosa japo kazi ya upolisi kweli?..,..hayo ndo matokeo yake-NGUVU NYINGI AKILI KIDOGO
 
Back
Top Bottom