Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

Hiv kovu anaona haya ni mazur angepata hta kaajal au aumwe ghafla il ajue umuhimt wa dokta! ee mungu angalia waja wako!
 
Hao kina Msangi ni kwasababu wametambuliwa na victim, kadri rank inavyokwenda juu, ndo unyama nao unavyokwenda nao, kumbuka huwa wanapandishwa vyeo wakifanya mauwaji ama kama kuwadhibiti wapinzani kama ilivyokuwa kwa Mahita, Chicco et al... tukio kama la Hemed Msangi, shida yake ni kuwa public imejuwa, however wanadharau sana hawa watu na wanaona wananchi ni kama mbuzi tu.
 
Mkuu hatari sana, kwa polisi wetu TZ, kuwatetea inahitaji ujasiri wa hali ya juu.

Arusha nako, huyo dogo alichakaza ile mbaya. Safu ya juu imeoza, angalia hata matumbo yao - makuuuubwa sijui wanapuaje kwa kweli.
 
Sasa kama bado anaendeleza upelelezi, mbona hajahoji waliokuwa na Ulimboka kabla ya kutekwa.
Serikali pia itoe ushirikiano wa aliko Abedi
 
Jeshi la Polisi Tanzania limege=uzwa kuwa na kulinda Mafisadi na kufanya Ujambazi dhidi ya raia wema. Hakuna cha Kova au koma tena huyu ndio Jambazi kuu na lijeuri utafikiri limepokonywa mke na Lile libosi lake lenye tumbo kubwa utafikiri anataka kwenda leba
 
Jamani ni ambieni uhusiano wa hawa na ile taarifa ya Mwakyembe?
 
Mwisho wa mambo yote umekaribia! Amin nawaambia, watakimbiana na kusalitiana! Muda si mrefu ndugu zangu mtaona haya niwaambiayo. Ngoma ikiliasana hupasuka. Uovu unapoongezeka jua kwa hakika ukombozi unakuwa umekaribia. Amini maneno yangu...mwisho wa uovu kwa Tanzania umekaribia sana kuliko mnavyodhania. Omba kwamba adui wa taifa letu ambao sasa wanajiona ni miungu watu wawe hai siku hizo kuona jinsi nchi itakavyokuwa inaendeshwa. Hata hivyo watz tunapaswa kujifunga kibwewe na kuamua sasa kufanya kazi kwani tutasema tunatumikishwa kwani hauna nchi iliyowahi kuendelea bila watu wake kufanya kazi kwa nguvu sana na kuacha blabla!
 
Najua tume huundwa for postponing the agitation,sasa kama kwenye tume kuna Victim wa ilo tukio how do you postpone the agitation!
As a result utaamsha hasira za wananchi bure.
Izi zama kila kitu kweupe huwezi danganya watu wa zama izi
 
Iko wapi dhana ya utawala bora inayopigiwa kelele na sirikali hata kama hahusiki lakini anametajwa hivyo katika kutekeleza dhana ya utawala bora ilikuwa vyema ake pembeni apishe uchunguzi huru haki si lazima itendeke tu, bali ni lazima ionekane imetendeka.
 
Hizi barua si za kweli,ni magumashi tu,kwani nijuavyo mimi na jinsi barua ilivyoandikwa ni tofauti.Kwa kawaida Polisi wana utaratibu wa kupeleka comment zao juu kwa wakubwa wao kwa kujaza fomu fulani na si kuandika barua za kawaida,hizo fomu hupitishwa wilayani,mkoani then kwa muhusika kama ni yupo huko makao makuu.Barua imeandikwa si kwa utaratibu wa kipolisi,muulize polisi yeyote atakwambia.Hii danganya toto kaka
 
Hizi barua si za kweli,ni magumashi tu,kwani nijuavyo mimi na jinsi barua ilivyoandikwa ni tofauti.Kwa kawaida Polisi wana utaratibu wa kupeleka comment zao juu kwa wakubwa wao kwa kujaza fomu fulani na si kuandika barua za kawaida,hizo fomu hupitishwa wilayani,mkoani then kwa muhusika kama ni yupo huko makao makuu.Barua imeandikwa si kwa utaratibu wa kipolisi,muulize polisi yeyote atakwambia.Hii danganya toto kaka
 
Najua tume huundwa for postponing the agitation,sasa kama kwenye tume kuna Victim wa ilo tukio how do you postpone the agitation!
As a result utaamsha hasira za wananchi bure.
Izi zama kila kitu kweupe huwezi danganya watu wa zama izi

Kakangu nadhani hapo ulimaanisha Suspect/Culprit ambaye ndiye Ahmed Msangi. Kama nivingine basi niwie radhi. Ila sioni mantiki ya mshukiwa kuwa katika tume ya kuchunguza madhambi ya mtu ambaye tayari anatajwa tajwa kila mara.
 
Hivi Kova anataka kutuaminisha kuwa Jeshi la Polisi lina Msangi tu ambaye lazma afanye hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom