Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,871
Mwisho wa mambo yote umekaribia! Amin nawaambia, watakimbiana na kusalitiana! Muda si mrefu ndugu zangu mtaona haya niwaambiayo. Ngoma ikiliasana hupasuka. Uovu unapoongezeka jua kwa hakika ukombozi unakuwa umekaribia. Amini maneno yangu...mwisho wa uovu kwa Tanzania umekaribia sana kuliko mnavyodhania. Omba kwamba adui wa taifa letu ambao sasa wanajiona ni miungu watu wawe hai siku hizo kuona jinsi nchi itakavyokuwa inaendeshwa. Hata hivyo watz tunapaswa kujifunga kibwewe na kuamua sasa kufanya kazi kwani tutasema tunatumikishwa kwani hauna nchi iliyowahi kuendelea bila watu wake kufanya kazi kwa nguvu sana na kuacha blabla!
hakikisha unabaki na nakala ya barua hizi!