Kosa Sura Pata Zegembe

siwezi pita hapa...mwanamke asiye na RECEPTION ntampeleka wap??mwanamke mapokezi...LOL...sio wakija wageni unatamani umtambulishe kama mfua nguo!tena wadada pigeni deki hapo mapokezi,huko kwingine hata kama umepewa yakukalia tuuu...sawaaa!si nanilii ipo?sasa je.
makitu yenyewe wengine hata hawayagusi...alah!
 
Naunga NANILIU mkono hoja, hapo NANILII si ndiyo mzima mpango ?
 
Hao hao wa Redioni kuna siku nilisikia wanasema Mwanamke Mtindi "boobs" kwa madai kua Mazaburi hata wanaume wanayo.
 
BAKITA kazi mnayo,kwa hii misamiati inayochipukia kama uyoga kwenye lugha yetu.

Hili neno Zegembe sio jipya, liko mtaani ''longi sana''
Mi nakumbuka nimelitumia sana miaka ya early 1980s na kama limesikika clouds inawezekana Anord Kayanda atakuwa amehusika katika kulishadidia maana nakumbuka lilivyokuwa maarufu sana katika viunga vya mji wa kigoma miaka ileeeeee!
 
Hao hao wa Redioni kuna siku nilisikia wanasema Mwanamke Mtindi "boobs" kwa madai kua Mazaburi hata wanaume wanayo.

AshaDii,
Kila mtu ana ladha yake inayomvutia, wengine wanapendelea mchuchu mwenye cowbell ya kutosha, mwingine anataka mwenye mapokezi nzuri, mwingine anazingatia mchuchu mwenye saburi kubwa, mwingine anapenda flat screen, basi kila mtu na lake!
 
Ni kweli kabisa... hio ndio nilikua najaribu ku point out kua hao hao wa radioni kuna siku walisema tofauti... ndio maana kuna msemo kua beauty is in the eyes of the beholder....

Good morning Maranya.... How is the weekend?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom