Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
Wadau wenzangu habarini za jioni .
"Kosa sura pata zegembe"
Awali ya yote naomba jamvi linielewe kua hayo maneno (headin') yaliobeba Sredi hii si maneno yangu.
Maneno hayo nimeyasikia au kuyapata kutoka katika moja ya vipindi vya Radio clouds,
kwakua sisi wengi wetu tunaishi mijini , na neno mojawapo kati ya hayo halipo kisarufi ama katika lugha sanifu .
Neno (Zegembe) ni neno la kimjini na wengi wetu litamkwapo au liandikwapo tunalifahamu linamaanisha nini . Niachane na hapo nije kwenye topic , ni kwamba baada ya mie kuyasikia maneno hayo yakanikolea kichwani.
Kwamba ni kweli walengwa wanaoelekezewa maneno haya kua ni "Bora ukose sura upate masaburi makubwa".
Nikajiuliza wenyewe wakilisikia hili watalipokea kama lilivyo kua ni liko sawa ?
Nawasilisha .