Kosa Sura Pata Zegembe

kazi tunayo preta.. Tutakimbiwa balaa.

Mkimbiwe na nani? Sie wanaume wa Shoka tunajali Naniliu tu ! Quality ya engine room ndo mzima mpango !
Sura, Saburi peleka kule.
Unadhani huyo anaemiliki Sura tamu, na Zegembe la umwagwe kama upande wa Naniliu akawa horogojo.
Biashara hamna hapo.
 
.
kweli
 
Ni kweli kabisa... hio ndio nilikua najaribu ku point out kua hao hao wa radioni kuna siku walisema tofauti... ndio maana kuna msemo kua beauty is in the eyes of the beholder....

Good morning Maranya.... How is the weekend?

AshaDii,

Umemaliza kila kitu, ''the beauty is in the eyes of the beholder''
ingawa in general wanaume wengi wanapenda mwanamke mwenye reception nzuri plus zegembe lakini muhimu zaidi ni mwanamke mwenyewe kujitambua na kutambua matarajio ya mwanaume.
Ushawahi kuona ama kusikia demu ana sura mbovu lakini wanaume wanamgombania? Unajua kwanini?

Btw weekend yangu iko vizuri, nacheza na binti yangu Rhobi tu hapa!
 
Mkimbiwe na nani? Sie wanaume wa Shoka tunajali Naniliu tu ! Quality ya engine room ndo mzima mpango !
Sura, Saburi peleka kule.
Unadhani huyo anaemiliki Sura tamu, na Zegembe la umwagwe kama upande wa Naniliu akawa horogojo.
Biashara hamna hapo.

Jg,
umelengaaa!
 
Zegembe/saburi, kiswahili kileeee kinatokomea zake! Hivi hakuna kaimu baba wa taifa eeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom