Hofu yako ni sawa na baadhi ya waafrika waliohoji "tukiwaondoa wakoloni nani atatutawala".
Unaweza ukajikuta umezoea shida mpaka hutaki ziishe.Hilo ni tatizo la kisikolojia.
Kama mikono yangu haitahusika kuiua CCM nitangoja waombolezaji waondoke nifukue maiti nikainyonge.
CCM ikifa siwezi kulia nitaitupa kagera iwe chakula cha mamba.

hapana usitupe historia kwani tumefanya makosa makubwa ya kuacha TANU na ASP vife na kuzaa chama ambacho hakina uelekeo kwasasa lakini si tu CCM kitunzwe bali kifundishwe ni namna gani kimefanya makosa.

CCM kimeshakubali kutoka madarakani lakini ombi letu tu kitapotoka madarakani sio mkichinje kama sadam . ombi letu kiondolewe madarakani lakini kifanywe chama kikuu cha upinzani ili kama kikijirekebisha basi tuwe na siasa za kubadilishana madaraka baina ya vyama tawala kama marekani

kupunzisha ndo kufanyaje?
Waungwana natambua mengi yatazungumzwa lakini ukweli jamani nchi hii ni tajiri kupita kiasi,ifike wakati tu-take risk kuweka watu ambao tunaona walau wanaweza kuwa na uzalendo wa kweli.Kwa muono wangu CCM wakikaa pembeni tukawapa CDM nao wasipotufikisha tunapopataka tunawaweka pembeni pia hii itasaidia chama kitakachoshika dola kutofanya masihara,hii hali ya kutokukubali ukweli kuwa CCM sasa ikae kando ndio itakayofanya nchi hii iwe maskini mpaka mwisho wa dunia kwa sisi tunaoamini.La maana tujitahidi tuwafumbue macho watanzania wenzetu haswa wa vijijini ambao wengi wao wanajua ili mambo yaende ni CCM tu!!watu gani tusiokubali ku-take risk kwenye maendeleo yetu?
Jamani kwenye mambo ya msingi tupunguze siasa,maana siasa sasa ni kila mahari hata ujenzi wa barabara ya lami ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti tulitaka kuleta siasa jamani haifai!!viumbe watatoweka!!
HIVI SISI TUMEROGWA?????????????????
Hapo ndipo kwenye msingi na hoja yangu nilipenda chama cha CCM kianguke tena mapema mno lakini kisife kiwe hai na tanzania tuwe na vyama vya siasa viwili vyenye nguvu ambayo kuanzia hapo viwe vikibadilishana madaraka kama wamarekani walivyokuwa na democratic na republican
Llakini CCM kinapoelekea si kuchokwa tu na wananchi bali mpaka kinachokwa na viongozi wa chama chao wenyewe hili ndilo kosa kubwa ambalo halitoweza kukifanya kiwepo hai tena baada ya kudondoka
Hatutaki CCM wala Chadema. Tunataka Mapinduzi ya Kuondoa Regime nzima ya mtandao wa CCM mpaka vyama vya Upinzani. Tunataka Revolution.
Maandamano ya Amani ya Kuiondoa CCM Madarakani.
Power to THE PEOPLE.
Assumption yako iko too hypothetical... Hapa tanazungumzia Siasa ya Tanzania which is one typical example of an African country with typical African politics... (ni kuwaonea kuwafananisha na system ya US) Tusiende mbali na tuangalie hawa jirani zetu kama Kenya na Zambia... Wale ambao sasa wapo Serkalini (chama tawala cha sasa) unafikiri hicho chama walochokitoa (thou kilikua na mizizi dhatiti) ndo kinawapa Pressure kweli? Hamna kabisa competition from former Big Vyamas... Competition ipo labda kwa Mugabe kule, ambako hata yeye ni sababu tu bado yupo in power na ndo the last say katika hio system yao ya sasa ya Governance...
labda tuangalie zambia kwani kenya wao wameua chama tawala na hili ndilo ninalotaka kuliepuka. na madhara ya kuua KANU kila mmoja ameona jinsi wanasiasa wanavyopambana si kwa sera bali ni mitandao .
When the empire ignores the warnings no doubt it crumb and collapse.Hiyo ndiyo natural law ya politics and government.Angalia historia yote inayohusu kuanguka kwa nchi,serikali,falme na vyama sababu ni kusahau malengo mahususi ya chama and collective goals ambayo yalifanya wananchi waupe ridhaa ya kuongoza.TZ na historia inayopotosha umma,NI SAHIHI KUSEMA CCM ILIPIGANIA UHURU WA TANZANIA?NI SAHIHI KUSEMA TANZANIA INASHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU?Kama nilivyosema kuwa ignoring the warnings and history is the source to collapse.