Pole sana ndugu kwani nikisoma hoja yako nakuona kama mwanamagamba anayetetea kamkate chake mana ni kweli chama cha magamba kimefika mwisho wake tena kitateketea kwa aibu kubwa na hao waliozoea ufisadi sijui wataficha wapi uso. Mi naonelea bora ccm ife kabisa na kuteketea moja kwa moja alafu badae wataibuka watu wapya na kuanza kukijenga upya. Kwa ufupi hakitakiwi kua ata chama cha upinzani