Koo zingine jamani zinabore

Huyo mwanaume mpuuzi tu unaushauriwa na mama/dada ili ujaribu/uoe mke mwingine haijakaa sawa.hiyo ..kuchukua mke mwingine lazima iwe ni uamuzi wako mwenyewe mpaka ushauriwe..hajakuwa huyo bado kinda! ...

True that!
 
ni ujinga unaondelea hapo kwenye jamii hiyo
huyo dada achukue wanawe akaanze maisha upya watoto watamtafuta baba wakiwa wakubwa. mtoto ni mtoto ebo!!!!

apambane huyo mwanaume ndio aondoke hapo, mie ctaki kabisa kubebana na watoto kwanini yeye ndio acondoke?kuna vitu vinakera sana kwenye lyfe jamani, yaani sasa hivi ndio wanamwona hafai.
 
Kwa hiyo sisi ndo tunawatupa wazazi wetu??? Mind your tongue young lady((((((

Unajua mwanaume anamtupa/anawatupa wazazi kutokana na kukamatwa na mwanamke sasa mawifi wakiliona hili basi inakuwa problem na mke wako basi bifu kwenda mbele.
 
apambane huyo mwanaume ndio aondoke hapo, mie ctaki kabisa kubebana na watoto kwanini yeye ndio acondoke?kuna vitu vinakera sana kwenye lyfe jamani, yaani sasa hivi ndio wanamwona hafai.

Wewe unasema tu aondoke mwanaume amwache kodi ikiisha si huyu mama atakuwa changu sasa atapata wapi kodi?
 
nazungumzia kama wamejenga luv.....

Ohhhh kwa hali halisi inaonyesha hawajajenga wanaishi kwa nyumba za kupanga sasa jamaa akiondoka na kuiacha familia itakuwa imekula kwa mwanamke na kama mwanamke ni mdakaji tu home basi balaa
 
kila napoenda naambatana na watoto wangu mweh
Ndo mambo ya kulipizana visasi hivi hao watoto wakikua wakaambiwa walikuwa hawapendwi katika ukoo kisa ni wa kike itakuwaje??
 
Kwa hiyo sisi ndo tunawatupa wazazi wetu??? Mind your tongue young lady((((((
Hakua na maana mbaya kusema hivyo ukweli nikwamba wanawake wana huruma zaidi na katika familia yeyote ukikuta msichana ambaye hamjali mama yake ni wachache sana. hilo halimaanishi wanaume hawajali ila women are more concerned!
 
...afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao

FL1 Hebu fafanua vizuri hii kauli yako, Ina Maana unasema kua wanaume huwa hawawajali wazazi wao? Kuna Ukweli wowote katika huu usemi?

If you fail to substantiate these accusations you will have to apologize to all men in this forum.
 
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira.Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira. sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.

...nini msimamo wa mume katika hili? kama mume anam support mkewe, maneno ya mawifi yampitie huku yatokee kule,...

Kama mume naye ni 'bendera fata upepo', inabidi mke aamue lile lililo na kheri naye,...
 
bullshit

hao mawifi sijui wanga vile hawajui kama mtoto ni mtoto ..
afadhari vitoto vya kike huwa haviwatupi wazazi wao
hapa naomba nikukatalie KATA KATA!watoto wa kike wanajua kusahau wazazi,HASA HASA MPINI UKIWAKOLEA
 
Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo mwanamke alizaa mtoto wa kiume lkn tahahira.Na katika wale mawifi waliokuwa wanamlaumu mke wa kwanza wa kaka yao, naye ameolewa amezaa mtoto wa kiume lkn tahahira. sasa wanasema huyo mke wa kaka yao wa kwanza ndiye anayewaroga wanazaa watoto wa aina hiyo, jamani mshaurini maana ameshachoka , kipi bora aendelee kubaki kwenye ndoa hiyo ili alee watoto au Aondoke maana amelemewa na lawama.

1.Kwenye red hapo juu ni ishara kwamba Mungu ameikubali hiyo Ndoa na akawajalia watoto wa Kike wawili wazima kwa Neema zake kwa hiyo Ndoa.Ni Iliyokubalika mbele ya macho yake.

2.Kuzaa watoto mataahira kwenye bluu na kijani hapo juu ni ishara kwamba Mungu hakubaliani kwa hao wanandoa kuvunja Ndoa ambayo Mungu alilikubali mwanzo,na ndoa wanazo ishi sasa hivi Mungu hajakubaliana nayo.

Kwa hiyo vitu vingine tuvitazame kwa upande wa Mungu maana matokeo mengine anatoa kama ujumbe kwetu sisi Wanadamu lakini kutokana na ubinadamu wetu tunashindwa kupata ujumbe,pengine Mungu alitaka labda mtoto wa tatu na nne wawe wavulana,hao wa kwanza na wa pili alipanga wawe wa kike huwezi jua mipango ya Mungu.

"Ndoa iliyounganishwa Mungu Mwanadamu asikitenganishe" kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu(Biblia).

Jina la Bwana Lisifiwe Milele.Amen.
 
Elimu jamani ya darasa la saba ndio chanzo cha haya yote...manake biology ya form 2 ingewasaidia hata kidogo tu kujua kitu gani kinaendelaea!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom