mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
habarini za leo magreat thinker....
huwa wanasemaga no research...no right to speak ingawa haijathibitishwa kwamba sample space au data collection iwe na ukubwa saizi gani...
kupitia yaliyonikuta kwa kutumia aina hii ya dawa ya penzi apo juu nimejikuta nikilazimika kuandika haya....
nimekua nikiitumia aina hiyo kwa muda mrefu na hadi naandika hapa nimeacha kuitumia dawa hiyo kwa muda si chini ya miezi miwili...kondom ya dume imekua ikinipasukia mara NYINGI SANA.....hali hiyo imeniogopesha,na si mimi tu bali pia na baadhi ya marafiki zangu niliowashirikisha walikiri kutokewa na hali hiyo...
nimezitumia kwa njia halali na gf wangu kwa kusudio la kujikinga na maradhi na mimba.
naomba kujua wenzangu hapa kama walishatokewa na hali hiyo...kwa sasa natumia aina nyingine ya kondom na haijanitokea hivyo regardless of the forces..
nb.huwa situmii kilainisho chochote kwenye kondom,na sipo kuharibu biashara ya mtu just kuexpress yaliyonikuta personally
nawakilisha.