Kondomu za dume..mh!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
habarini za leo magreat thinker....

huwa wanasemaga no research...no right to speak ingawa haijathibitishwa kwamba sample space au data collection iwe na ukubwa saizi gani...

kupitia yaliyonikuta kwa kutumia aina hii ya dawa ya penzi apo juu nimejikuta nikilazimika kuandika haya....

nimekua nikiitumia aina hiyo kwa muda mrefu na hadi naandika hapa nimeacha kuitumia dawa hiyo kwa muda si chini ya miezi miwili...kondom ya dume imekua ikinipasukia mara NYINGI SANA.....hali hiyo imeniogopesha,na si mimi tu bali pia na baadhi ya marafiki zangu niliowashirikisha walikiri kutokewa na hali hiyo...

nimezitumia kwa njia halali na gf wangu kwa kusudio la kujikinga na maradhi na mimba.

naomba kujua wenzangu hapa kama walishatokewa na hali hiyo...kwa sasa natumia aina nyingine ya kondom na haijanitokea hivyo regardless of the forces..

nb.huwa situmii kilainisho chochote kwenye kondom,na sipo kuharibu biashara ya mtu just kuexpress yaliyonikuta personally

nawakilisha.
 
Unajipenda kweli? Hizo sio kondomu ni maputo tu.
Na wewe punguza speed
 
Tatizo sio kondom, ila ni size ya mtarimbo.

tehe teh teh teh

inamaana mwenzio ana rungu eeh!!!

best hembu kuwa mpole kwanza maana duh!!! kama kuna mitarimbo inayochana naniliu hiyo ni balaa
 
Zinafanya kazi zaidi ya uwezo wake, Punguza Mikiki bana unataka hadi lady apige mayowe ya kuchinjwa!! wengine wezi ndo wanasabaisha hizo zina-bast!!!
 
Ni kweli, yalinikuta pia! Najuta kutumia ndom ya shing mia
 
wewe unafanya mapenzi na girl friend halafu unasema halali! Funga ndoa awe mke wewe
 
Go for a rough rider, you will not neglect......avoid cheap things like salama and Dume! It is too expensive to be poor...........!
 
Katika condom za bei rahisi Dume inaongoza kwa kuwa imara labda mwenza ni mkavu sana au kifanyio chako kiko 'rough' hebu ipake mafuta ukishaoga.
 
hahahah kweli mmepinda. Tumia kondom zenye akili kama mwili wako, ukiivaa huwezi tofautisha mwili na yenyewe. Ukienda pale JD Pharmacy pact yenye 2 ni 15,000/= . Welcome to the WORLD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom