CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
me husali b4 kulala na niamkapo. asante kwa kuweka msisitizo /bishanga/
kipipi,bishanga kabadilika,ukitaka nikutoe mapepo sema.
Nilikuwa nauliza tu pale nilipokuwekea red, uliandika ukiwa kaunta ya juu au??
Kama kweli umebadilika Bishanga....
Inshaalah.....Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, akujaalia kila lili jema na akuepushie kila lililo baya!!
Asalaam Aleykum.....Mr. Banana man!
shemeji bishanga mzima weye? yaani umenigusa vibaya mno! fo sure i should stop this addiction, lolest!
Nayakemea yaliyokupanda we kichwani mpaka ukatengana na mshua aspirin.
Kweli nimeamini shetani akizeeka hugeuka malaika.
Its midnight,wote sali/swali kisha mlale.