komeni hii tabia

Asprin ni kibuzi tu pamanenti, nilimtenga baada ya huzband kurudi naona anaya alifukuzwa na nyumba ndogo zaka akaamua kurudi home.

Ningemkataa?

Kwa hiyo we na yeye mko kwenye bebi kam bak?
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhh una ubavu huo wa kupata maono.....hebu tuondelee hadithi zako

Wewe dawa yako nikuwekee maombi maalum,nisali na kufunga ili pepo la jf likutoke,lol! Kutwa uko jf mpaka sa tisa alfajiri!
 
Bishanga wakati wenzio tunabembeleza na kubembelezwa tulale we unafikiria chakutungia uzi?!Siutafute mpenzi na wewe uwe unapumzika kidogo?!
 
Ni usiku,unasikia usingizi,unajiandaa kulala,badala ya kusali/kuomba dua umshukuru Mungu/Subhana wataal kwa kukuwezesha uamke salama,ushinde salama,ulale salama wewe unakimbilia jamvini uchungulie kunani kabla ya kulala,bishanga nasema komeni hii tabia.Sali/omba/msujudu Mola wako kabla hujaingia kitandani.
Mungu awabariki/Wasalam aleikum Muhammad Wabarakatum.
Nyote laleni salama.

mmmmmmh.......wajameni huu ni utani au??
We Bishanga wewe......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom