komeni hii tabia

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Ni usiku,unasikia usingizi,unajiandaa kulala,badala ya kusali/kuomba dua umshukuru Mungu/Subhana wataal kwa kukuwezesha uamke salama,ushinde salama,ulale salama wewe unakimbilia jamvini uchungulie kunani kabla ya kulala,bishanga nasema komeni hii tabia.Sali/omba/msujudu Mola wako kabla hujaingia kitandani.
Mungu awabariki/Wasalam aleikum Muhammad Wabarakatum.
Nyote laleni salama.
 
tuna mungu mmoja bhana mbona unawaombea waislam tu
 
bishanga ya leo kali ww mbona hujalala, ila hii kitu kipo sawa kweli? (Wasalam aleikum Muhammad Wabarakatum)
 
Lol Bishanga kama kawaida yako......ila nashukuru kwa kutukumbusha. Swali ni bora alieingia kuchungulia kama kuna jipya au yule alieingia kuanzisha uzi kama wewe???!!muone kwanza...ujijengee tabia ya kusali kwanza ww ndio uwaambie wengine.
 
Last edited by a moderator:
Mh!
Kama hapo kwako wewe ndio baba,
Mkeo na wanao wana kazi kubwa sana.
Ila nimepapenda hapo mwishoni staili ya funga dimba.
Aisee....!!!
 
Back
Top Bottom