hivi rami ndio marumaru eeeh?Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!
Hahahaha!Kwani keshaamka?
Kwani keshaamka?
Kwani keshaamka?
<br />Kwani keshaamka?<br />
<br />
<img src="http://1.bp.blogspot.com/-0t-A6duP0JA/TVwK5yxoDfI/AAAAAAAAEs0/vKiWhTOyJbo/s400/komba1.jpg" border="0" alt="" />
Yan hapo ndo amejitahidi kweli kweli kuchangia baada ya kushituka usingizini. Alivyokuwa amelala aliota tuna barabara za lami nchi nzima. Amechangia alichoota!Mpelekeni kwenye kwaya huyo analinganisha nini sasa hivyo?
Dah, nimecheka sana mkuuKwani keshaamka?
Kwani keshaamka?
Ni ndoto tu!!!Kwani keshaamka?