Komba Bungeni

Ngojeni aamke huyu.......

Mrema%2Bchapa%2BUsingizi%2B3%2B%25282%2529.jpg
 
hell is the place he deserve,..............poor komba,lakn kule kwetu komba lina maana ya mtu mjinga na anayependa kujikomba kwa watu.
Kweli huku ni kujikomba, alitegemea nchi zote zitakuwa na ukubwa sawa wa eneo?
 
Kwani keshaamka?<br />
<br />
<img src="http://1.bp.blogspot.com/-0t-A6duP0JA/TVwK5yxoDfI/AAAAAAAAEs0/vKiWhTOyJbo/s400/komba1.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
Inamaaana kwao hakuna vitanda mpaka wanakuja kulala humu?
 
Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!
data zipi unazokata
 
Watu kama komba ndio wamenisababisha nipigwe bann ya milele maana mm nakuwaga na hasira sn nikichangiaga mada kama hizi. Naombeni nipite id yangu mpya bado naipenda.

Du wewe kauzu, unatangaza wazi kuwa umerudi? jamaa yako PAW kazipata salamu?
 
Sasa ulitaka afanye nini mtu kama komba kama sio kuota, mimi simlaum maana anafanana na anachofanya, lkn walala hoi wenzutu hawana mda wa kulala bungen ni kaz mwanzo mwisho mpaka kieleweke. Kila la her komba ktk kuota ndoto za kwaya ktk bunge.
 
Hii hoja ni ya kijinga sana na nasikia wabunge wa magamba wakijinadi nayo sana tu. Yawezekana ikawa kweli barabara zitapita hadi vyooni lakini wasisahau kuwa ukubwa wa nchi kama Tanzania una advantages nyingi kama vile Soko kubwa la bidhaa, Kodi, Maliasili nk hivyo barabara zilitakiwa ziwepo kila mahali pia.
 
what do we have in terms of resouces compared to kenya and uganda! huyo amelala hata msimwamushe!
 
walipokuwa wakiwaingiza hawa jamaa bungeni walitwambia kuwa ni ku-diversify bunge kwa kuingiza na wasanii, bora wangefikiria wasanii kama Kipanya!
Sina uhakika kama huyu mheshimiwa anajua lolote juu ya 'GDP', 'per income', 'budget' nk.
Kweli Mungu aliwaumba wanadamu wote kwa maana hiyo hawezi kutoa upendeleo kwa yeyote ...kweli katupa rasilimali zote hizi lakini katunyima watu wenye akili/fikra!
 
Kuna faida gani tunayo kutokana na hiyo lami anayoongelea Komba, Tufikie wakati vyama vyote viwe vina hakiki wagombea ubunge wao kupata watu wanaojuwa nini ni nini, Komba alipaswa kwenda Bungeni kutoa Burudani siyo kama Mbunge ila kwasababu tunaruhusu kila mtu kuweza kuwa mbunge ilimradi anaeleweka ni mshabiki wa mtu fulani au chama fulani basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom