Mbunge Kasaka aunga mkono azimio la mkataba wa wakala wa Nishati Jadidifu Irena

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza kuridhia mkataba huo mwaka 2011 wameendelea kufanya kazi na manufaa wameyapata.

Mhe. Kasaka ameyasema hayo leo Oktoba 31 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Azimio la Tanzania kuhusu kuridhia mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom