Komba Bungeni

Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
59
Komba amesema bungeni leo ya kwamba barabara za rami tanzania ukizipeleka uganda au kenya nchi hizo zitakuwa na rami hadi vyooni! kwamba tusilalame!hoja za kweli hizi?mwenye data atusaidie!
 
Taandike kiswahili safi ili tuelewane.nadhani unamaanisha lami.kama ndivyo lazima ana vigezo vinginevyo awaombe radhi hao anaowalenga
 
Kwani keshaamka?

komba1.jpg
 
Ina maana tuna barabara nyingi sana zenye lami (kmwise) ukilinganisha na nchi hizo?nyoosha sentenso.
 
Kwani keshaamka?<br />
<br />
<img src="http://1.bp.blogspot.com/-0t-A6duP0JA/TVwK5yxoDfI/AAAAAAAAEs0/vKiWhTOyJbo/s400/komba1.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
baada ya kuota ndio akaja na wazo hilo.
 
Mpelekeni kwenye kwaya huyo analinganisha nini sasa hivyo?
Yan hapo ndo amejitahidi kweli kweli kuchangia baada ya kushituka usingizini. Alivyokuwa amelala aliota tuna barabara za lami nchi nzima. Amechangia alichoota!
 
Wakuu sasa nimejiridhisha rasmi kwamba wabunge wa CCM ni janga la Taifa, hivi punde Mbunge wa Mbinga John Komba amemaliza kuchangia hotuba ya wizara ya ujenzi kwa kusema kelele za wapangaji haziwazuii wao kulala na wataendelea kulala na majibu subirini mtayapata Igunga.
Hivi CCM kweli inategemea kura za Watanzania au kuna utaratibu wao haramu wameshaupanga kwamba hawahitaji tena ridhaa ya umma?

View attachment 34756
 
duh komba km jina lako lilivyo ina maanisha wewe ni mlevi tuuu. usingizi umekulevya ukaota ndoto ya lami mpaka vyooni . kule ziwani nyasa kuna lami? hivi unamuwakiisha nani huko bungeni? ni jimbo lako au KWAYA YA TOT? hufai kuwa mbunge weye
 
Kwa ukubwa wa nchi inawezekana ikawa kweli kwani huwezi kulinganisha ukubwa wa Tanzania na Uganda au Ruanda.

Jee amelinganisha na resources zilizoko hapa nchini? Kwani kwa resources tumewapita hao lakini nchi yetu ndiyo masikini kuliko hizo nyengine hapa Afrika Mashariki.

Na kwa nini asilinganishe ukubwa wa nchi na mfano, Marekani badala ya kulinganisha na nchi ndogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom