Koffi Olomide anachofanya ni kufuru kwa Mungu

Ni kipindi kirefu mwanamuziki koffi olomide amekua akijifananisha na viongozi wa dini hata kufikia hatua ya kujiita Papa Benedict wa 16 na mtume wa 13 wa Bwana Yesu. Ukiangalia vitendo vyake, video zake na majina anayojiita haviendani. Nadhani serikali ya Kongo ipo sahihi kumfunga jela miezi 18. Ni mwanamuziki ninayemkubali lakini amezidi kukufuru Mungu. "

Now it is said that Koffi Olomide's predicament is the fulfillment of prophet Mike Mulowayi's prophecy that Koffi Olomide's doom was approaching soon after the prophet accused the latter of committing a blasphemy by calling himself Pope Benedict XVI (Le pape Benoît XVI) and to add the salt on injury he called himself Jesus Christ's 13th Apostle in his latest album (13eme
Apôtre album released late last year in October.)*

How is somebody calling himself Pope Benedict XVI or the 13th apostle of Jesus a blasphemy?
 
Taarifa zilizopo koffi hajahukumiwa bado,bali yupo lockup,atakaa kwa siku tano,na kurudishwa mahakamani,ambako majaji watasikiliza kesi yake,na hata akikutwa na hatia ,kwa Congo hukumu ya kosa kama alilofanya Koffi si zaidi ya miezi 6
Mkuu uko sahihi sana watu wanazusha tu,hiyo miezi 18 ni mwendesha mashtaka wa serikali ndo alitoa kama maoni yake na haikuwa hukumu sasa naona watu mpaka wameanza kuleta ushahidi wa nyimbo na album,huyo ni msanii lazima awe na maneno ya kisanaa sasa mtu ukiwa na uelewe mdogo unasema eti kakufuru,kwa taarifa yake mleta uzi hata ukifuatilia nyingi za koffi majigambo ni kawaida yake,kashawahi kumwambia Laurent kabila kuwa yeye koffi ni funza na huwezi kumpiga funza kwa risasi(mukulu bilanga kombo na ngai lyanzii kasi bakokii kobona ngai te)acha huyo aliambiwa mobutu(nzinzi atakupimba likolo ali ndeke te)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom