Koffi Olomide anachofanya ni kufuru kwa Mungu

Hapana sio vizuri heshimu mtu uheshimiwe sasa Yesu sio wakumtajataja kama wanavyotaja watu wengine licha ya kusema.mwanafunzi wa Yesu mara yeye nipop hiyo nikijitakia malaana na mikosi zinadine ni mtu wakawaida hata ukikiita sawa Ila vitu vitakatifu mviache mbali viwe vya wa kristo wa islam dini yeyote msivitanie maana waumini wote wanaviheshimu nakuviogopa sasa wewe utajiitaje kristo Au Yesu Au Petro Au Mtume Mohamad mimi siwezi maana sio busara heshimuni dini za watu nanyie muheshimiwe ona sasa kwa laana kaleta fujo nchi za watu kafungiwa matamasha.
Watu waache viherehere waangalie na mienendo yao nwisho wa siku utajikuta pabaya wewe jiite ronaldo,maya,zinadine,de caprio,rihanna ,Jay Z ,na wengine mastaa wandani na njee ila acheni kuchezea vitu vitakatifu.
 
wewe huoni tatizo.

kwanza wewe dini gani manake pengine hata wanafunzi wa Yesu huwafahamu, hufahamu walivyopatikana na walivyo fanya kazi.

pole hilo nalo ni tatizo
Kwani kuwa mwanafunzi wa yesu maana yake ni nini ??? Dini yangu upendo una lingine ?? Mimi sioni tatizo kuwa mwanafunzi wa Yesu

Hao wanafunzi wa Yesu unaowasema wewe sijui wame patikanaje wanafanya kazi gani ?? Wapo hai mpaka sasa hivi ??
 
Koffi amelewa sifa na anaanza kujisahau. Kwa upande mwingine, pamoja na kwamba alifanya jambo lisilokubalika la kutaka kumpiga mcheza shoo wake, inaonyesha hataki mzaha kabisa katika kazi yake.

Alivyokuwa na hasira pale alipotaka kumpiga yule mnenguaji inatoa picha kwamba kuna jambo ambalo lilifanywa na huyo mnenguaji ambalo lingemharibia katika shughuli zake za muziki.
Wait a minute! Tangu lini muuza nyama akafarakana na shombo? Alitaraji mtu mwenye uelewa, adabu na heshima vikiambatana na akili timamu anaweza kufanya kazi ya kudhalilisha utu wake kama ile ya kuvaa nusu uchi na kunengua hadharani?

Kazi yake yenyewe ni ya mzaha
 
GENTAMYCINE amesha maliza kila kitu. Zaidi ni kwamba kila mtu ana mapungufu yake, cha muhimu ni kuangalia mapungufu yako yana athiri vp jamii yako. Yanapo leta shida kwenye jamii ndio kuna kuwa na despline n.k.
 
Kwani kuwa mwanafunzi wa yesu maana yake ni nini ??? Dini yangu upendo una lingine ?? Mimi sioni tatizo kuwa mwanafunzi wa Yesu

Hao wanafunzi wa Yesu unaowasema wewe sijui wame patikanaje wanafanya kazi gani ?? Wapo hai mpaka sasa hivi ??
usione aibu kurudi Sunday school
 
ni UJINGA wa kiwango cha mwendokasi kusfia upuuzi wa huyo Mkongomani. eti yuko serias na kazi yake.nyambaf kabisa

Duh..! Sawa mwerevu, ila ujue unaloliona sawa kwako kwa wengine ni upuuzi. Usikaze misuli ya kichwa sana. Relax
 
Kwani kuna tatizo gani yeye kujiita mwanafunzi wa 13 wa Yesu ??
Uncle, kuna watu hujihisi wana hatimiliki za kutafsiri biblia...so koffi anaonekana mdhambi mno kwa kujiita13th apostle of Prophet Issa..
wakati miongoni mwa wanafunzi wa Yesu kuna hadi waliomkana..wengine hata walimuuza kwa makuhani wa kiyahudi.
 
usione aibu kurudi Sunday school
Hujajibu maswali yangu hapo ,kuwa mwanafunzi wa Yesu maana yake ni nini ?? Hao unaosema wana haki ya kuwa wanafunzi wa Yesu kwa sababu ya njia waliyopatikana wapo hai ?? Jibu hayo maswali tuendelee na mjadala
 
Uncle, kuna watu hujihisi wana hatimiliki za kutafsiri biblia...so koffi anaonekana mdhambi mno kwa kujiita13th apostle of Prophet Issa..
wakati miongoni mwa wanafunzi wa Yesu kuna hadi waliomkana..wengine hata walimuuza kwa makuhani wa kiyahudi.
Hahaha acha ndugu yangu ndio kuna jamaa hapo juu ananichekesha nae ananiambia najua hao wanafunzi wamepatikanaje ?? Nikamuuliza kwani maana ya kuwa mwanafunzi wa Yesu ni nini kaishia kuniambia nirudi sunday school , Koffi ana tofauti gani na Zakayo ama Yuda ?? Au Petro aliyemkana Yesu kabla ya Jogoo kuwika mara tatu ........hakuna mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke aliye mkamilifu ,hivyo mtu kujiita mwanafunzi wa Yesu sioni tatizo
 
Nadhani kwa sasa atajifunza na liwe fundisho hata kwa wsanii wetu wa Tanzania
 
GENTAMYCINE amesha maliza kila kitu. Zaidi ni kwamba kila mtu ana mapungufu yake, cha muhimu ni kuangalia mapungufu yako yana athiri vp jamii yako. Yanapo leta shida kwenye jamii ndio kuna kuwa na despline n.k.

Umeshindilia kabisa " msumari " Mkuu kula " gwala " la nguvu.
 
Mbona kuna wengine uko marekani wanajiita yesu na wametoa na vitabu vyao kabisa mfano wa bibilia?,,
 
Kwani kuna tatizo gani yeye kujiita mwanafunzi wa 13 wa Yesu ??
Mkuu kuna tatizo kubwa kwa sababu mitume ni 12 kwa hesabu ya makabila 12 idadi hiyo haitakiwi kuzidi au kupungua, that's why baada ya Yuda Iskarioti kujinyonga alichaguliwa Mathias kumreplace. 12 has a meaning. Mi ni shabiki namba moja wa Koffi but naona anakoelekea siko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom