Koffi Olomide anachofanya ni kufuru kwa Mungu

Sodium 23

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
471
484
Ni kipindi kirefu mwanamuziki koffi olomide amekua akijifananisha na viongozi wa dini hata kufikia hatua ya kujiita Papa Benedict wa 16 na mtume wa 13 wa Bwana Yesu. Ukiangalia vitendo vyake, video zake na majina anayojiita haviendani. Nadhani serikali ya Kongo ipo sahihi kumfunga jela miezi 18. Ni mwanamuziki ninayemkubali lakini amezidi kukufuru Mungu. "

Now it is said that Koffi Olomide's predicament is the fulfillment of prophet Mike Mulowayi's prophecy that Koffi Olomide's doom was approaching soon after the prophet accused the latter of committing a blasphemy by calling himself Pope Benedict XVI (Le pape Benoît XVI) and to add the salt on injury he called himself Jesus Christ's 13th Apostle in his latest album (13eme
Apôtre album released late last year in October.)*
 
Koffi amelewa sifa na anaanza kujisahau. Kwa upande mwingine, pamoja na kwamba alifanya jambo lisilokubalika la kutaka kumpiga mcheza shoo wake, inaonyesha hataki mzaha kabisa katika kazi yake.

Alivyokuwa na hasira pale alipotaka kumpiga yule mnenguaji inatoa picha kwamba kuna jambo ambalo lilifanywa na huyo mnenguaji ambalo lingemharibia katika shughuli zake za muziki.
 
Yule mnenguaji aligombana na mchepuko wa Kofi ambao ni vocalist.
 
Hiki ulichokiandika logically kabisa kinahusiana vipi kwa yeye kumpiga teke Dancer wake? Hizi imani za kiswahili tulizozizoea ndizo zinatufanya Waafrika tudharaulike kila siku na waliotuzidi AKILI na IQ akina Wazungu. Hivi kwa Koffi Olomide kujiita tu Pope Benedict XVI kuna tatizo gani? Mbona Fally Ipupa anajiita Dicaprio? Mbona mtangazaji maarufu wa Radio One / ITV Farouq Karim anajiita Zidane? Mbona beki na nahodha wa Yanga Nadir Haroub anajiita Cannavaro? Mbona Mimi mwenyewe najiita Gentamycine yule Rapa ( atalaku ) mahiri wa Wenge Musica BCBG? Kujiita jina hakuna kosa au nuksi yoyote bali hutokana tu na mapenzi ya Mtu kwa huyo anayejiita jina lake na tuache hizi imani za " kiswahili swahili " kusema eti Koffi Olomide ana nuksi. Naomba kukuuliza Koffi Olomide miaka kama 4 au 5 nyuma alipompiga Dancer wake huko Paris huyo Papa Benedict XVI alikuwepo? Koffi Olomide ana matatizo yake binafsi ambayo hayahusiani kwa lolote na sijui yeye kujiita jina gani.
 
Ni kipindi kirefu mwanamuziki koffi olomide amekua akijifananisha na viongozi wa dini hata kufikia hatua ya kujiita Papa Benedict wa 16 na mtume wa 13 wa Bwana Yesu. Ukiangalia vitendo vyake, video zake na majina anayojiita haviendani. Nadhani serikali ya Kongo ipo sahihi kumfunga jela miezi 18. Ni mwanamuziki ninayemkubali lakini amezidi kukufuru Mungu. "

Now it is said that Koffi Olomide's predicament is the fulfillment of prophet Mike Mulowayi's prophecy that Koffi Olomide's doom was approaching soon after the prophet accused the latter of committing a blasphemy by calling himself Pope Benedict XVI (Le pape Benoît XVI) and to add the salt on injury he called himself Jesus Christ's 13th Apostle in his latest album (13eme
Apôtre album released late last year in October.)*
Taarifa zilizopo koffi hajahukumiwa bado,bali yupo lockup,atakaa kwa siku tano,na kurudishwa mahakamani,ambako majaji watasikiliza kesi yake,na hata akikutwa na hatia ,kwa Congo hukumu ya kosa kama alilofanya Koffi si zaidi ya miezi 6
 
Koffi amelewa sifa na anaanza kujisahau. Kwa upande mwingine, pamoja na kwamba alifanya jambo lisilokubalika la kutaka kumpiga mcheza shoo wake, inaonyesha hataki mzaha kabisa katika kazi yake.

Alivyokuwa na hasira pale alipotaka kumpiga yule mnenguaji inatoa picha kwamba kuna jambo ambalo lilifanywa na huyo mnenguaji ambalo lingemharibia katika shughuli zake za muziki.
Siyo koffi tuu, Wakongo wote ndvyo walivyo ni watu wa sifa tuu, we huoni mpka wanajichubua
 
Hebu nielewesheni! Amekamatwa na polisu juzi na jana amefungwa miezi 18! Mahakama za drc zipo sharp hivo?
 
Koffi amelewa sifa na anaanza kujisahau. Kwa upande mwingine, pamoja na kwamba alifanya jambo lisilokubalika la kutaka kumpiga mcheza shoo wake, inaonyesha hataki mzaha kabisa katika kazi yake.

Alivyokuwa na hasira pale alipotaka kumpiga yule mnenguaji inatoa picha kwamba kuna jambo ambalo lilifanywa na huyo mnenguaji ambalo lingemharibia katika shughuli zake za muziki.
Huyo mnenguaji alikorofishana na demu wa koffie
 
Koffi amelewa sifa na anaanza kujisahau. Kwa upande mwingine, pamoja na kwamba alifanya jambo lisilokubalika la kutaka kumpiga mcheza shoo wake, inaonyesha hataki mzaha kabisa katika kazi yake.

Alivyokuwa na hasira pale alipotaka kumpiga yule mnenguaji inatoa picha kwamba kuna jambo ambalo lilifanywa na huyo mnenguaji ambalo lingemharibia katika shughuli zake za muziki.
acha ujinga. mijitu mingine bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom