Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

mi nakumbuka kipindi kile mdingi na wenzie walikuwa wanashinda porini. Ila mimi naona hii adha bado haijaisha maana kodi za nyumba na vyumba zinatutesa
 
siku hizi kuna wanaume wenye matiti, ina maana hii kodi ingewahusu pia?

hehehe halafu wanayo makubwa hayo kuliko hata wanawake mambo ya blueband hayo,ila mimi najua liitwa hivyo ili ijulikane inawahusu wanawake
 
hehehe halafu wanayo makubwa hayo kuliko hata wanawake mambo ya blueband hayo,ila mimi najua liitwa hivyo ili ijulikane inawahusu wanawake

hahahaah!! Eti kodi ya matiti, hii ni joke ya hali ya juu i.e ya kufungulia wiki.
 
kama hujalipa
mgambo anafanya kama kwenye avatar yangu kwa nusu saa

hiyo picha nilipiga enzi hizo

ingeendelea kuwepo labda matiti ya kichina yasingekuwepo.. hivi ilikuwa inatozwaje vile?
 
Hahahahaha! Katavi ukoo wenu una vituko. Lol, yule ndugu yako aliyefurahia kufeli kwa kuogopwa kurogwa hajambo?
 
Back
Top Bottom