Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

jamani watu walikuwa wanahama makazi yao kabisa.
Afu ile ya baskel, kama huna wanaondoka hata na baskeli yako. Sijui hizo power walikuwa wanapata wapi?

Afu ilikuja na staili ya kupitia mgambo kwa lazima.
Wadada wengi walikuwa wanaolewa ili wasipelekwe huko, yaani Ujima nao ulikuwa na mambo.
 
Kweli ilikuwa ujima.
 
Siku hizi mtu hakimbii,aidha ngumi zinapigwa kwanza,au analipa ili aepuke kero za kusumbuliwa kila siku
 
@kabakabana lol, nimecheka sana!...

@ Katavi sijabahatika kujua kodi ya kichwa ndio nini, labda vile sijawahi ishi na bibi/babu (RIP) wanisimulie!
 
hehe ndo hivyo wifi,wakoloni walikuwa matata sana!ilikuwa inaitwa 'matiti tax'
 
Back
Top Bottom