Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Status
Not open for further replies.
Nasikia kwa siku mbili hizi amekua anaendelea uzuri.tunamwombea Super coach MWANANGU.
 
kulishawai kutokea uzishi kuwa anatumia vidonge vya kuongeza siku. kama ndo hivyo, namuombea kwa Mungu aokoke ili akaende mbinguni. sasa niseme nini jamani!
 
Vidonge vya kuongeza siku vinatolewa bure mkuu.

Hivi unajijua afya yako? na je unajua upo salama kiasi gani kwa kupitia mwenza wako? acha unyanyapaa huwezi jua hatma yako usimhukumu mwenzio sio fresh.....
 
Hivi unajijua afya yako? na je unajua upo salama kiasi gani kwa kupitia mwenza wako? acha unyanyapaa huwezi jua hatma yako usimhukumu mwenzio sio fresh.....

Heshima kwako Sokomoko,

Napenda kukufahamisha bila chenga wala kuchakachua afya yangu naijua barabara.Hakuna unyanyapaa hapa hata wewe ukiparamia hovyo adhabu yake ni vidonge vya kuongeza siku sawa sawa mkuu.mwenzi wangu namwamini sana sina shaka wala sikosi usingizi juu yake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom