Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Status
Not open for further replies.
Pole super coach angalia vizuri bana hizi malaria za simba na yanga mara chache kumwacha mtu hai....wanandugu kemeen sana .....ukipona achana kabisa na story za simba na yanga for ur security
 
jamani si uungwana. Tumtakie matashi mema mwenzetu mgonjwa.

Get well soon mziray

cha ajabu hawa hawa kwenye msiba wanakuja na kulia....unaweza hisi wanamlilia marehemu weeeeeee......ukiona hivi ujue washapitiwa hao wanajibu mapigo wakati c too late....
Haka kaugonjwa kako kila sehemu ni kujilinda unaweza jilindaaa weeee siku unatolewa bikira na mumeo na damu zimefura kitandani sikuhiyo hiyo kitu kinazama rasmi....msifanye mzaha nao jamani hata kama mnajua wagonjwa sio sehemu yake..tukianza hapa kutaja tuliosikia chuo kikuu wengine ni viongozi wanakula nchi...na afya zao
 
Mwe mwe aliyemsafi na anyooshe kidole au sababu mmeficha ID zenu!!!!!! yaaani we jafar unaomba mtu afe
 
bado hajafa tu
Si haki na wala si uungwana kumtakia mwenzako kifo! Watu kama wewe tunakuwa na wasiwasi nao. Yaani wewe kuvaa bomu wala hufikirii. Na ukitangulia wewe kabla ya Mziray.
Mziray get well soon.
 
KOCHA MZIRAY AHAMISHIWA ICU, AGAKHAN


Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba Syller Said Mziray amerudishwa hospitalini baada ya hali yake kubadilika ghafla jana.

Kocha huyo ambaye awali alikuwa amelazwa katika hospitali ya Regency kabla ya kuruhusiwa kurudi nyumbani ,kwa sasa amelazwa wodi ya wagonjwa mahututi (ICU),katika hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam hiyo ni kwa mujibu wa vyombo vya habari.

Habari hizo za kulazwa ICU zimekuja mara baada ya uvumi ulioenea jana asubuhi kwamba Super Coach amefariki dunia lakini habari hizo zilikanushwa vikali na vuiongozi wa Klabu ya Simba.

Aidha juzi mchana baadhi ya waandishi wa habari za michezo walikwenda nyumbani kwa Mziray Tabata, Jijini Dar es Salaam kwa nia ya kujua ukweli wa taarifa na uvumi ulionea juu ya hali ya kocha huyo lakini hawakupata ushirikiano wa kutoka na kuishia kufukuzwa na jamaa wa karibu wa Mziray.
 
Kwa habari za jioni hii ni kwamba hali ya Kocha Mziray si nzuri kabisa,amelazwa kwenye Wodi ya Wagonjwa Mahututi Hospitali ya Aghakhan,watu hawaruhusiwi kumuona na wameitwa baadhi ya waumini wa dini wamuombee...Ndugu,Rafiki,Wapenda soka na wengine wote,tumuombee Ndg Mziray katika wakati huu mgumu wa kujaribu kunusuru maisha yake.
 
Jamani tunaomba wale wanye habari kuhusu hali ya kocha mziray watufahamishe jamani. Tunamwombea afya njema
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom