KKKT Mna tamaa sana na hela , ona waliyoyafanya na Mzee Mengi

Mengi Ana ndoa moja tu hyo na klyn ni batili maandiko yanasema usimwache mke wa ujana wako. Hafu wanaume wakifiwaga na wake nao mda si mrefu hufatia wapendwa wao
@CARIHA POPOTE ULIPO WACHA KAZI INAYOKUPA KIPATO KWA XX UWEMTABIRI HAKIKA UTAINGIZA VYEMA FEDHA ULICHOKITABIR NOVEMBER 8 2018 LEO KIMETIMIA
 
MENGI & KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MMEKOSEA
Juzi baada ya mke halali wa Reginald Mengi Mama Mercy Anna Mengi kufariki dunia huko Johannesburg Afrika Kusini, vyombo vyake vya habari hususani ITV Tanzania na Eatv Tanzania vimetumia nguvu kubwa kuficha ukweli halisi wa nafasi ya mama huyu kwenye ndoa yake takatifu ya Kikristo (KKKT). Huku vikijikita kumuelezea tu kama mmoja wa waanzilishi wa makampuni ya IPP.

Binafsi silaumu vyombo hivyo kuuficha UKWELI huu MCHUNGU kwa kuwa pengine wangependa kueleza uhusika wa mama huyu lakini hayo ndio maagizo waliyopewa kutoka juu. Wangefanyaje ikiwa nao wanatafuta unga wa watoto wao, wakiuke wafukuzwe?

Hapa ambaye nataka nimlaumu peupe ni Reginald Mengi kwa kumkosea heshima mkewe. Fedha na mali vitapita lakini kumkosea heshima na utu kwa mwanamke anayejua mlipotoka, akakuzalia hadi watoto ni jambo ovu na baya la kukemewa katika jamii yetu. Kulikuwa kuna ubaya gani kumtambua Mama Mercy Anna kama mkeo halali?

Wa pili wa kulaumiwa zaidi ni KKKT hususani Dayosisi zinazopatikana kanda ya yetu ya Kaskazini ELCT Northern Diocese (sina uzoefu na dayosisi za KKKT kutoka kanda nyingine). Kanisa hili niseme ukweli limekuwa na "desturi ya kushindwa kukemea vitendo viovu kwa waamini wake wenye ukwasi na fedha lufufu".

Tukio hili si la kwanza kutokea, miongoni mwa tukio ambalo lilishangaza wengi ni wakati mmoja wa mke wa Mremi (Dar Express) alipofariki. Waamini wa KKKT walingoja kuona namna ambavyo ile Sheria ya KKKT ya kuwatenga watu na kuwasulubu wakati wamekufa kwa sababu wako nyuma ya kundi ifanye kazi. Japokuwa wengi tulitarajia kuwa Sheria hii isingeweza kufua dafu kwa bwenyenye hili.

Nilisikitika sana kuona double standards katika utekelezaji wa Sheria za Kanisa pale ambapo Askofu alingojwa hadi atoke Marekani ili aje amzike mke wa Dar express kwa heshima zote.

Kuhusu Pombe wala usijiulize, KKKT imepoteza uwezo wa kukemea vileo kwa waamini wake matajiri. Pale kwa Dar express walikunywa kwa kiwango cha kusaza kuanzia migombani mpaka nje. Sikusikia popote kukilaumiwa kwa mambo haya ambayo kwa mujibu wa Sheria za KKKT ni makosa.

Lakini ukitaka kuona meno na utekelezaji wa Sheria hizi, jambo sawa na hili au hata huenda dogo zaidi liwe limetendwa na waamini masikini, mafukara na wale wa kipato cha kati ambao hawana ushawishi kwa Viongozi wa Kanisa hapo utaona Sheria, kanuni na taratibu hizi jinsi zitakavyosimamiwa. My friend watakutupa kaburini kama mbwa koko.

Nimeshashuhudia na kuhudhuria mazishi ya watu masikini wanaosulubiwa vikali na Sheria hizi kanda ya Kaskazini. Watahakikisha hata wimbo au sala hazifanyiki, wanahukumu Marehemu bila kujijua. Ukiwauliza majibu yao ni mepesi tu, watakujibu "iwe funzo kwa wengine".

Akifa masikini zitauliziwa documents zake zote zije, ole moja ya documents ikosekane. Lakini wacha afe bwenyenye ambaye ni mtoaji mzuri wa michango mbali mbali utasikia huyu hana neno tunamfahamu.

Hata kama wanafahamu fika kuwa Marehemu alikuwa mtoa kafara, anayedhulumu mali, mwizi, ameoa wake wawili achilia mbali masurufu yake. Hayo hutoyasikia.

Baadhi ya waamini wa KKKT ukanda huu wa Kaskazini huwa wanalazimika kufuata Sheria hizi za kile kinachoitwa " matoleo" mara utasikia sadaka ya ahadi, collect, misioni, mchango wa mradi wa hoteli ya Corridor ulioliwa na Viongozi wa Kanisa, shukurani ya ndoa, ubatizo nk. Na lazima utoe ndipo upewe huduma hizi haijalishi una uwezo au la.

Sehemu nyingine wamefika hatua ngumu kidogo, unakuta wale "single mother" kajaaliwa Mtoto wake anataka abatizwe, wanamkomalia kuwa hawambatizi Mtoto hadi mama yake afunge ndoa. Hivi kama hana mume aje afunge ndoa na nani? Au Kanisa linataka wasiobahatika kuolewa wafe bila watoto?

Hata kutembelewa na kushirikishwa habari za kiroho kama ilivyo desturi ya Kanisa kama wewe huna kitu kusema UKWELI MCHUNGU huwa ni nadra na ngumu mno. Lakini bwenyenye likituma SMS tu mara hiyo hiyo utakuta Mchungaji, Mwinjilisti, na Mzee wa Kanisa wamefika haraka sana.

Binafsi siamini kama haya ndiyo matengenezo ya Kanisa (Church Reformation) aliyoyamaanisha Padri Dr. Martin Luther wa Ujerumani kabla ya kuasi kutoka Kanisa la Roma.

Macho na masikio yangu yote nayaelekeza KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) pale Usharika wa Azania Front November 8 kuona kwamba, Je Askofu Dr G. Malasusa ataweza kuvunja mwiko huu wa wenzake wa Kaskazin na kumkemea Mengi? Je atasimama imara na kuhubiri hii DHAMBI ya kumtelekeza huyu mama? Au naye ataweka Sheria pembeni kwa muda? Kwa upande wa Dayosisi ya Kaskazini na dayosisi zingine zote za Kaskazini wala sina mashaka kuwa ukiwa na pesa haijalishi ulikuwa unafanya nini kila kitu kiko sawa.

Kwa kule Machame Moshi najua huenda hata Askofu anaweza asitaje kama huyu mama anayezikwa ni mke halali wa Mengi. Anyway tungoje November 10.

Kanisa hili lisipojitafakari litaendelea kuwa kisima cha migogoro ambayo ukiifanyia analysis sana utaona kuwa chanzo chake kikuu ni FEDHA.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.

Mungu aipumzishe Roho ya mke wa Reginald Mengi, Mama Mercy Anna Mengi mahala pema peponi. Amina.

Tujikumbushe na hapa

Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa - JamiiForums
Britannica
KKKT nilitoka huko nikiwa na miaka 40 hivi miaka karibu 20 iliyopita kwa sababu karibu na hizo na zaidi pale nilipohubiriwa na KUOKOLEWA . Huko ni kama SIASA za kidunia (Politics zinavyoendeshwa).
NENO la Mungu walishatia MAJI siku nyingi;hawana huruma na ROHO za Washirika wanaoangamia na kwenda MOTONI, Wakuu hawa wa dini wasipobadilika siku ya mwisho watafungiwa jiwe shingoni na kutumbukizwa kilindini mwabahari.
Yako mengi, Uzinzi, Ulevi Nyumba ndogo etc. mimi pia nilikuwa huko na vyeo kibao.
Mungu hana upendeleo ; ni Mtakatifu sana; hakuna kinyonge kitaingia Mbinguni pasipo huo utakatifu. Hakuna mbingu ya watenda dhambi.
KKKT muogopeni Mungu"- hadhihakiwi""
Bwana Yesu Asifiwe
 
Naona wapiga ramli mmeamka sasa, hivi kama Mengi na mke wa kwanza walikuwa na conflict zisizorekebishika, ukitaka waendelee tu kuishi kisa jamaa amepata utajiri?
Kama watu wameshindwana ni heri wanapeana nafasi, hivi una uhakika gani kama huyo mama marehemu alikuwa msafi, au unadhani fault yote ni kwa mzee Mengi.

Ni kweli kama watu wameshindwana kabisa kabisa ni vema wakachukua maamuzi ambayo yatampa kila mtu aman moyoni mwake,,

Mzee angetafuta wa umri wake na kuacha kuhangaika na mwanamke ambaye ni sawa sawa na mwanawe wa kumzaa kabisa.
 
Tena kwa mtu kama kyailin ndo atapata tabu sana sana ,,maana sidhani kama atakubalika sana na ndugu plus na watoto wa Mke wa kwanza ,atapata upweke sana

Ndugu wengi watamuona kama alikuwa anamchuna Mzee tu wala si Mke wake ,,Hi kabila langu nawafahanu sana ikifika sehemu kama hizi ,

Kwenye kikao cha kuvunja tanga na kikao cha ukoo ndo atajua mustakabali wake vizuri tu.

Mimi namhurumia kwa kweli msalaba atabeba mtoto mkubwa, ila Africa mwanamke ukifiwa na mume utapata tabu sana
 
Mengi Ana ndoa moja tu hyo na klyn ni batili maandiko yanasema usimwache mke wa ujana wako. Hafu wanaume wakifiwaga na wake nao mda si mrefu hufatia wapendwa wao
Yaan nipikuws naitafuta hi post toka jana. Nilitaman Sana mengi angekuelewa wakati ule.
Toka siku amemzika mama Mercy hakurudi kuwa normal alianza kudhoofika Sana Sana kea haraka. Halafu Sasa alkutana na mashemeji konki ile mbaya walimzika dada yao kwasabb wanajua imeandikwa "Ni heri usingezaliwa kuliko kukosa mazishi"
Mengi akafanyiwa dharau ya mwaka kulazwa ukweni msiba was mkeo. Sasa leo hajachukua miez sita naye kafariki. Na sijui kanisa litampokeaje kyln. Nina uhakika machame kule huyu binti ataisoma namba.
 
Tena kwa mtu kama kyailin ndo atapata tabu sana sana ,,maana sidhani kama atakubalika sana na ndugu plus na watoto wa Mke wa kwanza ,atapata upweke sana

Ndugu wengi watamuona kama alikuwa anamchuna Mzee tu wala si Mke wake ,,Hi kabila langu nawafahanu sana ikifika sehemu kama hizi ,

Kwenye kikao cha kuvunja tanga na kikao cha ukoo ndo atajua mustakabali wake vizuri tu.
Yaan ukweli kylin Kama Mengi atazikwa machame Basi ajiandae kisaikolojia na ajue tuu wanawe watabaki kwa ndg zao ila yy Hana chake Kama hakuchuna
 
Kuzikwa machame hiyo ni lazima hawezi kuzikwa porini Dar es salam ,lazima akazikwe nyumbani eneo lililotengwa kwa ajili ya makaburi.

Wanawe wanaweza wakawa naye ila sasa kutakuwa na distance kubwa sana kati yake na ukoo wa akina Mengi pia na watoto wa Mke mkubwa .

Watoto wake hao ndo ponea ponea yake .

Na hawa ndugu zangu nawafamu sana .Kikukweli atapata tabu sana

Pia akiweka ngumu na yeye atakuwa amewatengenezea watoto distance na ukoo na ndugu wengine wengine ,,

Familia haitakubali kumuachia mali zote za Mzee yeye ndo awe msimamizi Mkuu, na sidhani kama ataweza kwenda mahakamani kudai haki ya kuwa msimamizi mkuu wa Mali alizochuma Mzee ,
 
MENGI & KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MMEKOSEA
Juzi baada ya mke halali wa Reginald Mengi Mama Mercy Anna Mengi kufariki dunia huko Johannesburg Afrika Kusini, vyombo vyake vya habari hususani ITV Tanzania na Eatv Tanzania vimetumia nguvu kubwa kuficha ukweli halisi wa nafasi ya mama huyu kwenye ndoa yake takatifu ya Kikristo (KKKT). Huku vikijikita kumuelezea tu kama mmoja wa waanzilishi wa makampuni ya IPP.

Binafsi silaumu vyombo hivyo kuuficha UKWELI huu MCHUNGU kwa kuwa pengine wangependa kueleza uhusika wa mama huyu lakini hayo ndio maagizo waliyopewa kutoka juu. Wangefanyaje ikiwa nao wanatafuta unga wa watoto wao, wakiuke wafukuzwe?

Hapa ambaye nataka nimlaumu peupe ni Reginald Mengi kwa kumkosea heshima mkewe. Fedha na mali vitapita lakini kumkosea heshima na utu kwa mwanamke anayejua mlipotoka, akakuzalia hadi watoto ni jambo ovu na baya la kukemewa katika jamii yetu. Kulikuwa kuna ubaya gani kumtambua Mama Mercy Anna kama mkeo halali?

Wa pili wa kulaumiwa zaidi ni KKKT hususani Dayosisi zinazopatikana kanda ya yetu ya Kaskazini ELCT Northern Diocese (sina uzoefu na dayosisi za KKKT kutoka kanda nyingine). Kanisa hili niseme ukweli limekuwa na "desturi ya kushindwa kukemea vitendo viovu kwa waamini wake wenye ukwasi na fedha lufufu".

Tukio hili si la kwanza kutokea, miongoni mwa tukio ambalo lilishangaza wengi ni wakati mmoja wa mke wa Mremi (Dar Express) alipofariki. Waamini wa KKKT walingoja kuona namna ambavyo ile Sheria ya KKKT ya kuwatenga watu na kuwasulubu wakati wamekufa kwa sababu wako nyuma ya kundi ifanye kazi. Japokuwa wengi tulitarajia kuwa Sheria hii isingeweza kufua dafu kwa bwenyenye hili.

Nilisikitika sana kuona double standards katika utekelezaji wa Sheria za Kanisa pale ambapo Askofu alingojwa hadi atoke Marekani ili aje amzike mke wa Dar express kwa heshima zote.

Kuhusu Pombe wala usijiulize, KKKT imepoteza uwezo wa kukemea vileo kwa waamini wake matajiri. Pale kwa Dar express walikunywa kwa kiwango cha kusaza kuanzia migombani mpaka nje. Sikusikia popote kukilaumiwa kwa mambo haya ambayo kwa mujibu wa Sheria za KKKT ni makosa.

Lakini ukitaka kuona meno na utekelezaji wa Sheria hizi, jambo sawa na hili au hata huenda dogo zaidi liwe limetendwa na waamini masikini, mafukara na wale wa kipato cha kati ambao hawana ushawishi kwa Viongozi wa Kanisa hapo utaona Sheria, kanuni na taratibu hizi jinsi zitakavyosimamiwa. My friend watakutupa kaburini kama mbwa koko.

Nimeshashuhudia na kuhudhuria mazishi ya watu masikini wanaosulubiwa vikali na Sheria hizi kanda ya Kaskazini. Watahakikisha hata wimbo au sala hazifanyiki, wanahukumu Marehemu bila kujijua. Ukiwauliza majibu yao ni mepesi tu, watakujibu "iwe funzo kwa wengine".

Akifa masikini zitauliziwa documents zake zote zije, ole moja ya documents ikosekane. Lakini wacha afe bwenyenye ambaye ni mtoaji mzuri wa michango mbali mbali utasikia huyu hana neno tunamfahamu.

Hata kama wanafahamu fika kuwa Marehemu alikuwa mtoa kafara, anayedhulumu mali, mwizi, ameoa wake wawili achilia mbali masurufu yake. Hayo hutoyasikia.

Baadhi ya waamini wa KKKT ukanda huu wa Kaskazini huwa wanalazimika kufuata Sheria hizi za kile kinachoitwa " matoleo" mara utasikia sadaka ya ahadi, collect, misioni, mchango wa mradi wa hoteli ya Corridor ulioliwa na Viongozi wa Kanisa, shukurani ya ndoa, ubatizo nk. Na lazima utoe ndipo upewe huduma hizi haijalishi una uwezo au la.

Sehemu nyingine wamefika hatua ngumu kidogo, unakuta wale "single mother" kajaaliwa Mtoto wake anataka abatizwe, wanamkomalia kuwa hawambatizi Mtoto hadi mama yake afunge ndoa. Hivi kama hana mume aje afunge ndoa na nani? Au Kanisa linataka wasiobahatika kuolewa wafe bila watoto?

Hata kutembelewa na kushirikishwa habari za kiroho kama ilivyo desturi ya Kanisa kama wewe huna kitu kusema UKWELI MCHUNGU huwa ni nadra na ngumu mno. Lakini bwenyenye likituma SMS tu mara hiyo hiyo utakuta Mchungaji, Mwinjilisti, na Mzee wa Kanisa wamefika haraka sana.

Binafsi siamini kama haya ndiyo matengenezo ya Kanisa (Church Reformation) aliyoyamaanisha Padri Dr. Martin Luther wa Ujerumani kabla ya kuasi kutoka Kanisa la Roma.

Macho na masikio yangu yote nayaelekeza KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) pale Usharika wa Azania Front November 8 kuona kwamba, Je Askofu Dr G. Malasusa ataweza kuvunja mwiko huu wa wenzake wa Kaskazin na kumkemea Mengi? Je atasimama imara na kuhubiri hii DHAMBI ya kumtelekeza huyu mama? Au naye ataweka Sheria pembeni kwa muda? Kwa upande wa Dayosisi ya Kaskazini na dayosisi zingine zote za Kaskazini wala sina mashaka kuwa ukiwa na pesa haijalishi ulikuwa unafanya nini kila kitu kiko sawa.

Kwa kule Machame Moshi najua huenda hata Askofu anaweza asitaje kama huyu mama anayezikwa ni mke halali wa Mengi. Anyway tungoje November 10.

Kanisa hili lisipojitafakari litaendelea kuwa kisima cha migogoro ambayo ukiifanyia analysis sana utaona kuwa chanzo chake kikuu ni FEDHA.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.

Mungu aipumzishe Roho ya mke wa Reginald Mengi, Mama Mercy Anna Mengi mahala pema peponi. Amina.

Tujikumbushe na hapa

Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa - JamiiForums
Britannica
Toka katikati yao; nilitoka miaka 20 hivi iliyopita
 
unakuta wale "single mother" kajaaliwa Mtoto wake anataka abatizwe, wanamkomalia kuwa hawambatizi Mtoto hadi mama yake afunge ndoa. Hivi kama hana mume aje afunge ndoa na nani? Au Kanisa linataka wasiobahatika kuolewa wafe bila watoto?
hili naweza kuwa tofauti na wewe
 
Mzee wangu Reg mnamuonea bure tu.....mbele ya mrembo JN, mlitegemea afanye nini? Tena hata hiyo haki ya kumzika "mkewe" kwa kumpa kofia ya "uanzilishi wa IPP" itakuwa ameipigania pakubwa pengine atalipa gharama kubwa tu baadae ikiwamo kununiwa. Nyinyi vijana humwajui wanawake vizuri.....ni mama na dada zetu lakini...
Duh...
 
Back
Top Bottom